Rashford kwishaa. Wazungu ni watu wabaya sana

Mi ni shabiki wa manutd ila Rashford haonewi anazingua kweli kaendekeza starehe kuliko kazi, kiwango kibovu muda mfupi baaada ya mechi utaona picha zake yuko club tena hapo timu imetoka kupoteza, sasa sahivi anasingizia ugonjwa alafu anaonekana club na mademu huku kiwango chake kinaporomoka kwa kasi na analipwa hela nyingi tofauti na huduma anayotoa hiyo ni kuhujumu timu na ni upuuzi
 
Mzungu ana chuki sana na Africa
 
Waandishi wa habari wao kazi yao ni kusaka matukio. Na matukio yanayolipa ni ya watu maarufu.

Niambie kati ya hao wote, yupi ambae ameandamwa kwa habari za uzushi?
Kwa heshima yako mleta mada jibu hili swali. Hivi kina Ebue walivyooa kishamba na kisha wakapigwa hela hizo nazo ni njama? Mtu kaenda kupiga masanga karudi njii kajivunja na Wazungu Kila mahali kamera wakamnasa. Ulitaka waseme wewe ni mweusi Baki na rangi yako?
 
ila waafrika nao ama wenye asili ya afrika wakati mwingine nidhamu yao inakuwa chini sana

unajua kabisa kesho watakiwa mazoezini unaenda kulewa ukipigwa bani unasema wanakuvizia kosa wakufukuze ama wakushushe asa kwa nn nawe hujichungi
Ni sahihi. Wengi hawajitambui. We angalia black American jinsi wanavyojibehave na walivyo na kiburi na majivuno.
 
Hawa wazungu hasa wana habari wanawamaliza sana jamii ya kiafrika hasa kwenye michezo.
Hawa nao ni weusi?? Nafikiri unaendeshwa zaidi na hisia!

WWE’s Vince McMahon resigns after sexual assault and trafficking lawsuit​

Cristiano Ronaldo faces new legal challenge from rape accuser over 2010 hush money deal​


Lionel Messi tax fraud prison sentence reduced to fine​


Novak Djokovic: How tennis player won visa row court case​


A timeline of David Beckham's alleged affair with Rebecca Loos, and what Victoria Beckham has said about it​



 
Tatizo Rashford alikiwasha sana wakati anasaka mkataba mpya halafu alivoupata ni kama amepotezea kujituma
Pesa mkuu, na ndio tatizo lililopo pale Man U, walimwaga sana pesa za mishahara kwa hawa madogo mwisho wake viwango vimekufa na hawauziki, nikimkumbuka Martial yule na ile debut yake Liverpool anakufa Martial anatupia, leo hii hauziki na anaondoka bure [emoji2]
 
Huyo martial akiwa benchi utamuona anacheka meno yote nje 😁 akiingia tu uwanjan anakunja sura kama ugomvi huyu jamaa sijui wazungu wamemroga 😄
 
"The most in-form..." hii kauli haikudumu
 
Sasa hapo kaonewa kivipi?
 
Rashford ni mshambuliaji hatari tangu lini? Halafu acheni kutumia racism kwenye kila kitu.
 
Kumbe kalewa kweli. Sasa uonevu uko wapi hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…