Dah, honestly hua sio mfuatiliaji sana wa watu. So ninaposikia taadifa kama hizi huwa nashtuka as ni watu niliokuwa nikisikia wakiaifiwa kwa kufanya vyema.Mkuu upo sayari gani q chief na ray c walikuwa na hali mbaya wote ila raisi akaamua kumchukua ray c tu q chief akamuacha ila sasa hivi mbona kaacha na yupo poa tu abubakari qatwila
aah bangi ya olkokola ni kiboko aisee!Maisha ya jela atakufa kwa alosto hahaa [emoji3]
Chakufanya ni kusaidia kubreak circle na friends zake wanaomsaidia kupata dose.
Lakini pia anahitaji ushauri toka kwa watu wakini....tena ahamishwe kabisa na mkoa aje Arusha avute ganja toka Olkokola na kuchunga ngo'mbe basi ....hahaaa [emoji4]
Sio Chid huyu...!!
Wanasiasa wengi ni wachumia tumbo tu. Wanatuongopea kuhusu ukombozi, democracy sijui nini huko. Ni uongo mtupu wanataka kuingia madarakani tu kwa manufaa yao.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Duh, nimetengua kauli!Hebu pitie na hii video mje mfute comments zenu, mtoe ushauri wa maana
Bila kumsahau Masaaaab..urii adidasZimwi la lowasa limemtafuna akamuulize mtikila
Mungu si msaidie sasa,nanyi ni walewale...saiz walokole wanakuwa km mateja wamekondeana mpk huruma..ukiamua unaweza acha chochote kwa msaada wa Mungu
ni yeye kuna hata video nimeiona, simlaumu sana ni mgonjwaWabongo alie tuluga sijui ni nani....yani watu wanachangia kumkandia chidi ili hali wa kwenye picha si yeye.....hata kwa kutizama tu mmeshindwa tofautisha
endelea kubisha tu kama vile unaishi naye mtaa mmojaWabongo alie tuluga sijui ni nani....yani watu wanachangia kumkandia chidi ili hali wa kwenye picha si yeye.....hata kwa kutizama tu mmeshindwa tofautisha
Yap! Hata mimi sijaamini bado, Chid si yupo Wasafi na kina Domo!Mkuu kama tuko pamoja hivi!naona kama nimtu anaefanana nae tu!
Ngoja nisiweke nukta yadunia ni mengi.