Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,991
upo sawa mkuuKama sio mwanzoni mwa mwaka huu basi mwaka jana, alikuwa anaenda ktk shoo mbeya kama kumbukumbu yangu ipo sahihi, akadakwa na dawa pale dar airport. Nadhani kuna wadau walifanya wawezavyo kumuondosha ktk kadhia ile
usibishane na wabishiWewe ndio mbishi nenda mitaa ya Kino manyanya to Mwanamboka unamuona na nguo hizo hizo na bandage yake mkononi nimemuona siku kama 3 zilizopita au unabisha hii uthibitishiwe?
Nenda Instagram kweny A/c ya Solothang utamuona.Najua jamaa kachoka ila hizo picha sio yeye nimefuatilia mbona hana kidoti cha puan wanaelekeana
Unaweza kutuambia ni nani huyo??Wabongo alie tuluga sijui ni nani....yani watu wanachangia kumkandia chidi ili hali wa kwenye picha si yeye.....hata kwa kutizama tu mmeshindwa tofautisha
Nenda kino utamwonaDar. Ubungo
Yan sio Chaka yupo Jela huyo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe ndiyo upo chaka ile ile
[emoji12] [emoji12] unabishana na mbishi ili iwaje mkuundio yeye,nenda youtube kuna video yuko na solo thang,afu kavaa tshirt hiyo hiyo kama kwenye picha hizi!
Najua jamaa kachoka ila hizo picha sio yeye nimefuatilia mbona hana kidoti cha puan wanaelekeana
Duh, huyu ni looklike atakuwa, kama kawa wabongo wameingia mazima na comments zao.
Siyo yeye, nitakuwa wa mwisho kuamini