Rashid Makwiro (Chid Benz) hali yake ni tete kutokana na matumizi makubwa ya madawa ya kulevya

Rashid Makwiro (Chid Benz) hali yake ni tete kutokana na matumizi makubwa ya madawa ya kulevya

wale wanaokula methadone pale mwananyamala mbona changes naziona? wako smart siku hizi na kazi wanafanya

kama ray c kashindwa nadhani chid kama mwanaume ataweza kula dozi kwa usahihi na kurudi kwenye hali yake

aamue tu
90% ya wanaotumia methadone hurudi kwenye Unga baada ya muda fulani, ile methadone huondoa arosto kwa muda mfupi tu, Nina Rafiki yangu mteja tokea 90s alichoka Unga na mwenyewe akajipeleka mnyamala, ila baada ya mwaka mmoja amerudi Kyle kule, ukiongea nae no kweli hataki Unga sema body imeshakuwa dependent kwenye hiyo kitu!
 
SERIKALI ISIMDEKEZE CHID BENZ AU RAY C. WAKAMATWE ASWEKWE CELLO.
HUKO WATAONESHA WANAPO NUNUA HIZO NGADA NA ATAACHA AKISWEKWA MIAKA 3 KWA KOSA LA MADAWA YA KULEVYA!
NA WENGINE WATAOGOPA.
 
Dah chid aisee ndo huyu alikua anatembea na msafara wa magari 30 kwenye show. Duu wale marafiki wote wako wapi? Mabaunsa wake wote wamemkimbia kweli dunia hadaa.
 
90% ya wanaotumia methadone hurudi kwenye Unga baada ya muda fulani, ile methadone huondoa arosto kwa muda mfupi tu, Nina Rafiki yangu mteja tokea 90s alichoka Unga na mwenyewe akajipeleka mnyamala, ila baada ya mwaka mmoja amerudi Kyle kule, ukiongea nae no kweli hataki Unga sema body imeshakuwa dependent kwenye hiyo kitu!
Basi yeye aamue kuwa kwenye 10% inayotusua
 
SERIKALI ISIMDEKEZE CHID BENZ AU RAY C. WAKAMATWE ASWEKWE CELLO.
HUKO WATAONESHA WANAPO NUNUA HIZO NGADA NA ATAACHA AKISWEKWA MIAKA 3 KWA KOSA LA MADAWA YA KULEVYA!
NA WENGINE WATAOGOPA.
Kwa hiyo mkuu unaamini wahusika hawajulikani wa madawa kweli? Labda Kama we we ni mkenya
 
Kwa hiyo mkuu unaamini wahusika hawajulikani wa madawa kweli? Labda Kama we we ni mkenya
Ha ha ha mm naboreka sn kusikia Chid kapelekwa Soba House katoka karudia tena!
Ni bora na yy apelekwe gerezani.
 
Hapo zamani za kale palitokea jamaa mmoja machachari sana aliyejiita Chidi Benzi, ila kutokana na Ungangari wake katika game watu wakamuita Chuma
..........basi Ikaendaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa....................

Na hadithi yetu ikaishia hapo...
Chuma kimepata kutu
 
Mungu wangu, nimeumia sana!! Ehee mwenyezi Mungu saidia vizazi vyetu, hivi mtu kwa akili ya kawaida anaanza tu kuvuta unga au huwa wanavutishwa bila kujijua??
 
Back
Top Bottom