Mzee ES,
Habari za masiku mkuu?
Nimekuwa busy na ujenzi wa Taifa kwa ari, nguvu na kasi mpya ya ajabu.. kiasi imekuwa ngumu kuwa active humu JF, but trust me .. nnapita pita every now and then, na nnapata mengi ya faida.. ingawa na uongo pia uko mwingi.
Baadhi ya uongo ni kwa kutokujua lakini inakera pale inapokuwa ni uongo wa makusudi kabisa.. probably to serve certain interests/agenda.. and sadly, wana JF wengi wanauheshimu as ukweli, as long as uongo huo unaendana na trend ya kuponda na kulaumu viongozi, hata wasiostahili kupondwa!
Ukiwa Muongo .. especially wa aina yako Mzee ES.. inabidi uwe na good memory, otherwise utaumbuka. Maana mitandao hii ina keep records.. hakipotei kitu!
Leo unadai wewe binafsi hata humfahamu RO... na unataka ajiuzulu kwa kushindwa kazi??!!!
ES baada ya kumponda sanaaa RO (while ukiwa humjui), baadae ulikuja kudai umekutana nae mara nyingi na ukakiri kumkubali na kumfagilia RO kuwa he is doing a great job na kuwa sasa hivi anakubalika, na kuwa mmeshakutana mara nyingi.
Refer post zako za nyuma:
Ref:
http://www.jamboforums.com/showpost.php?p=6066&postcount=41
na ukarudia kusifia tena hapa
Ref:
http://www.jamboforums.com/showpost.php?p=6106&postcount=60
Eti leo tena unadai humjui na unataka ajiuzulu. Are you the same ES au ni watu tofauti tofauti mnatumia ID moja?
Nawaonea huruma wanaoendelea kukubali data zako. Labda leo uwasaidie hawa unaowadanganya hapa as to what did RO do to impress you to the extent of kumfagilia as quoted above.
Piga madongo panapostahili, bila kuleta uongo. Utaheshimika that way!!!