Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Jamani mbona mimi naona gharama tu, hela ya kuwalipa hao marais na wabunge itatoka wapi? Kama sio kuanza kutupandishia kodi. Na hamna details za kueleweka ya vyazo vya mapato vya serikali za Zanzibar na Tanganyika?
 
Marais watatu kweli ni tatizo ila pendekezo zuri ni kua na mawaziri wakuu wawili yaani mmoja awe wa bara na mwingine awe wa Z'bar. Halafu tutakua na Rais mmoja wa JMT.

Kuhusu vyanzo vya mapato sioni kama kuna tatizo ilihali Z'bar ya sasa inajiendesha kama nchi kupitia vyanzo vyake ndivyo hivyo hivyo itakavyokua kwa Tanganyika.
 
Nachoogopa ni kwamba hamna mtu anataja specific vyanzo vya mapato, kwa mfano wewe unasema "hivyo hivyo", je ni vipi? Navyofahamu japo Znz inajiendesha kama nchi lakini bado bara tunawapa fungu kubwa kupitia serikali ya Muungano.
 
Ndio wazee wenye Busara hao lazima wawepo
 
Nachoogopa ni kwamba hamna mtu anataja specific vyanzo vya mapato, kwa mfano wewe unasema "hivyo hivyo", je ni vipi? Navyofahamu japo Znz inajiendesha kama nchi lakini bado bara tunawapa fungu kubwa kupitia serikali ya Muungano.

Hapo imekaa vizuri Kabisa Hamna Tatizo kabisa kwa serikali Tatu na Hilo Halipingiki.CCM walie tu na pendekezo lao la 2 govn tr
 
Kiukweli hakuna ajaya selikali tatu ni kuji ongezea mzigo
 
serikari,tatu,muhimu,sana,kuondoa,ubabaishaj,mcotaka,mna,yenu,mambo,hakuna,muungano,wa serikal mbil,hik,kiinp,macho
 
Una akili sana.
 
Sio kweli hiyo ni inferiorit complex ya waleeeeee eti wakristu wanapata majibu mbona wanaopata ziro ni wakristu pia au mnataka kuwa spesho group?
Leta ushahidi tuamini kama ni kweli
 
hata mimi natamani sana Tanganyika yetu itolewe kwenye shimo la giza na kurudi uraiani.
 
Huo ni ufinyu wa kufikiri,kupata A O'level haimaanishi utafaulu A'level vizuri.Sitaki kuamini pia kwamba mitihani ya kiislamu inasahihishwa na Makasisi,hebu fanya utafiti wako upya usitupe sumu.
 
kwa nini ni lazima mkatoliki aongoze necta tangu kuasisiwa, wakati ni suala muungano
 
Yani du! Almas umechoka. Akiwekwa mwislam ndo kutakuwa na nn.....ah! Napoteza mda kujadili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…