Aisee wewe kumbe ni Genius ehee!! katiba ya Tanganyika iandikwe kwa ushirikiano na Wazanzibar? au hujui tume ya Warioba ina wajumbe kutoka Zanzibar? tushirikishe akili kabla ya kucomment na tujifunze ku- appliciate pale kazi nzuri inapofanyika.
Sio tu anafuatilia bali anafuatilia live nimemuona na tisheti yake ta taifa staz
ExactlyHata CJ na Deputy wake?
Kifo cha ccm kimewadia,sasa rais kushtakiwa na bunge,viti maalum hakuna, pamoja na mengi mazuri kali ni kuwa mbunge akifariki,mrithi atatoka chama alichokuwa aliyefariki,hapa kuna tatizo kwani ni sawa na kuamini wananchi walichagua chama na si mtu kwa sifa na uwezo wake,pia ni kuamin anayepewa nafasi anakubalika na pia ni kuwanyima haki za msingi watu wanaopenda na wenye nia ya kuleta maendeleo. My intake: Tusitishwe na gharama za uchaguzi kwa kumteua mtu asiyefaa.
Tumsikie Bilal, mbona Jk kachimba kwenye hili? Something fishing ......
Tume ya uchaguzi , majkumu yawe ni pamoja na ya msajili wa vyama vya siasa, no more Tendwa,
wajumbe wa tume sifa kuteuliwa ktk tume ziwekwe kwenye katiba nani mwenye sifa
Tume imepitisha serikali tatu yaani Tanganyika,zanziber na muungano. Rais kapunguziwa mamlaka,mambo ya muungano yamepungua toka 22 na kubaki saba tu.viti maalum wanawake vimefutwa na Wabunge wa kuteuliwa na rais wamepunguzwa toka kumi hadi 5 na watakaoteuliwa na Rais wanapaswa wawe Walemavu tuuuu. Tume huru ya katiba
Kabisa Mkuu, tena sio wabunge wa sasa wanatosha tu bali wapunguzwe kwa sababu tafiti zinabainisha wazi wabunge ambao ni productive ni wachache mno; so wapungue japo kwa 25%Hapo kwenye red tuipinge hii idea kwa nguvu zote, nani ataingia gharama kuwalipa lundo lote la wabunge hawa comedy show? idadi ya wabunge wa sasa inatosha sana.
Hata mi najiuliza. Na hizo serikali mbili (Tanganyika na Zanzibar), zitakuwa na mamlaka gani kimataifa?
madaraka ya rais yameachwa juu mno,.tume ya uchaguzi bado sio huru, kinga ya rais bado ipo!!
mkuu nimekushauri ufiche aibu yako, tulia tumia akili usitumie uji kuandika..hapa tunazungumzia katiba sio sheria
madaraka ya rais yameachwa juu mno,.tume ya uchaguzi bado sio huru, kinga ya rais bado ipo!!