Siungi mkono rasimu ya katiba.
Yani makamanda hawamo kwenye uzinduzi???
Mbowe,Slaa,Lema,Tundu hawamo?haiwezekani serikali ipendelee waziwazi,kama hawatatengua hayo sijui mauzinduzi yao na kuyatangaza upya ili makamanda nao wapewe shavu la kuhudhulia uzinduzi tutaandamana nchi nzima na tuko tayari kufa!
VIVA MAKAMANDA WENZANGU!
CC Ritz Ben Saanane
Na rasimu ya katiba ya Tanganyika ipo wapi?
mkuu ni haki yako je huoni kama ndo kikwazo kwa kila kitu. mathalani waziri anateuliwa na rais ,makatibu wakuu wanateuliwa na rais je hapa nani atamwajibisha mwenzie ndo maana matatizo hayaishi kwenye hii nchi then mnasema chadema ndo wabaya kumbe ndo tatizo wa mfumo
Ubunge kuwa na ukomo wa vipindi vitatu miaka 15 na siyo Urais, Urais ni 2term miaka 10.Hivi nimesikia vibaya au ni kweli RAIS ANAWEZA KUONGOZA KWA MIAKA 15? I hope nimesika vibaya
elimu juu ya katiba bado kabisa inahitajikaMkuu hujaelewa, hii ni hatua ya kwanza ya kuunda kitu 'mama' then ikishapita ndo sasa katiba za serikali husika zitaundwa. Sasa hivi hicho unachotaka hakiwezi kuwepo kwa sababu this is just a proposal mkuu!
Hapo ni ujinga mtupu. Jimbo kuwa na wabunge wawili kwa maslahi ya nani na kuwakilisha nani? na raisi anakuwa na wabunge kuwakillisha nini?. inamaana tutakuwa na wbunge zaidi ya 700 na gharama za kufuga wadudu hao zitalipwa nani.Wanawake wanaweza na wamekwisha jiwezesha waingie kupambana.Lazima mihimili hii iwe tofauti.
Hii ya kwetu bado itakuwa cha mtoto, Wao Kenya Jaji mkuu anaomba kazi hateuliwi.
huwezi kuwa na zanzibar huru kabla ya kuwa na Tanganyika!-tume ya jaji Warioba yapendekeza sekali tatu.
-serkali ya zanzibar, ya tanganyika na ya muungano.
mambo ya muungani ni 7 ambayo ni:
1)katiba ya jamhuri ya muugano wa tanzaia
2)sarafu na benki kuu
3)mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa
4)ushuru
5)ulinzi na usalama
6)usajili wa vyama vya siasa
7)uraiya na uhamiaji
Maoni yangu.
Mambo saba yaliyopendekezwa kuwa ya muungano, ni sawa na kumi namoja,mambo hayo ndio ambayo wazanzibari kwao ndo kero kubwa za muungano.
Uraia na uhamiaji (ni mambo mawili)
Ulinzi na usalama (ni mambo mawili)
Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa( ni mambo mawili0
sarafu na bank kuu ( haya ni mambo mawili)
Kwa mapendekekezo hayo ni mambo kumi na moja yalio pendekezwa, bado Warioba hajaondoa kero za muungano, tunarudi kule kule ambako tunakotoka, tunataka Mamlaka kamili ya zanzibar itakayo jiamulia mambo yake ya nje na ya ndani, hata tanganyika vile vile.
Rasimu hii ipo wezekano wazanzibari kuikata asilimia 66 wanaotaka mkataba, haitapita,
Wewe ni CCM mambo ya Chadema yanakuwashia nini? naona hii rasimu imewachoma na msumari wa mwisho ipatikane tume huru ili muunde kambi imara ya upinzani, hakuna namna ya CCM kurudi madarakani kwa mfumo huu, Si Tanganyika wala si Zanzibar na wala si Federal GovernmentMpaka katiba ikaja timia may be itakuwa 2016-2017 dogo Zitto atakuwa ashakuwa mtu wa miaka 41 possibly ataiwakilisha chadema iliyo na mtu mmoja tegemezi kwa sasa ambaye by that time atakuwa hana nafasi tena ya kugombea kwasababu ya umri.
Hapo ni ujinga mtupu. Jimbo kuwa na wabunge wawili kwa maslahi ya nani na kuwakilisha nani? na raisi anakuwa na wabunge kuwakillisha nini?. inamaana tutakuwa na wbunge zaidi ya 700 na gharama za kufuga wadudu hao zitalipwa nani.Wanawake wanaweza na wamekwisha jiwezesha waingie kupambana.Lazima mihimili hii iwe tofauti.
wamesema kama ni mgombea binafsi ametoka au kufariki patafanyika uchaguzi.Hapo umeneno wana assume kama vile hakutakuwa na mgombea binafsi asiyekuwa na chama huyo nani atamrithi, au watatakiwa kuacha wasia wa nani atarithi kiti chake, hili jambo ni la ovyoo, demicrasia lazima iheshimiwe, watu wachague viongozi hii nchi democrasia ndo inakua hata kupiga tu kura watu bado hawajitokezi kuache kuweka vichocheo vya kukuza voter apathy nchini ni kosa kubwa! Akifa/akijihudhuru au kwa namna yoyote nafasi ya kuchaguliwa yoyote ikibaki wazi lazima uchaguzi ufanyike, hii ndo gharama ya democracy!
Wahenga walisema 'kuchamba kwingi mwishoe utashika mavi', hapa kinachotakiwa mambo yaliyomo kwenye HATI ya muungano ndio yafanyiwa kazi na si vinginezo.-tume ya jaji Warioba yapendekeza sekali tatu.
-serkali ya zanzibar, ya tanganyika na ya muungano.
mambo ya muungani ni 7 ambayo ni:
1)katiba ya jamhuri ya muugano wa tanzaia
2)sarafu na benki kuu
3)mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa
4)ushuru
5)ulinzi na usalama
6)usajili wa vyama vya siasa
7)uraiya na uhamiaji
Maoni yangu.
Mambo saba yaliyopendekezwa kuwa ya muungano, ni sawa na kumi namoja,mambo hayo ndio ambayo wazanzibari kwao ndo kero kubwa za muungano.
Uraia na uhamiaji (ni mambo mawili)
Ulinzi na usalama (ni mambo mawili)
Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa( ni mambo mawili0
sarafu na bank kuu ( haya ni mambo mawili)
Kwa mapendekekezo hayo ni mambo kumi na moja yalio pendekezwa, bado Warioba hajaondoa kero za muungano, tunarudi kule kule ambako tunakotoka, tunataka Mamlaka kamili ya zanzibar itakayo jiamulia mambo yake ya nje na ya ndani, hata tanganyika vile vile.
Rasimu hii ipo wezekano wazanzibari kuikata asilimia 66 wanaotaka mkataba, haitapita,
Hivi nimesikia vibaya au ni kweli RAIS ANAWEZA KUONGOZA KWA MIAKA 15? I hope nimesika vibaya
Kwani wewe nani mpaka ulazimishe watanzania mambo ya kurithishana hapa??huoni zile tunguli za naibu wa kipaza sauti kama atakosa anaweza kuzitumia ili arithi??hakuna kuogopa gharama za uchaguzi maana kumwaga oil za mashangingi tu kwa mwaka ni trilioni 1.8...masisiem yenu yanataka kuleta njama hapa,tutakataa kwa nguvu zote.
Tutakipinga, wewe nani? Mbona unawasemea watu wote wa TZ?