Kiresua
JF-Expert Member
- May 13, 2009
- 1,183
- 259
Siungi mkono rasimu ya katiba.
Yani makamanda hawamo kwenye uzinduzi???
Mbowe,Slaa,Lema,Tundu hawamo?haiwezekani serikali ipendelee waziwazi,kama hawatatengua hayo sijui mauzinduzi yao na kuyatangaza upya ili makamanda nao wapewe shavu la kuhudhulia uzinduzi tutaandamana nchi nzima na tuko tayari kufa!
VIVA MAKAMANDA WENZANGU!
CC Ritz Ben Saanane
Mkuupale yale matukio sio ya kuwakilisha itikadi ya vyama vyao, Mziray ni mwenyekiti wa TCD i hope!!!? so kuna nn mbaya hapo, na isitoshe, katiba haiishii kipewa nakala ni juu ya kushiriki mchakati mzima wa kuipata