RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

Siungi mkono rasimu ya katiba.
Yani makamanda hawamo kwenye uzinduzi???
Mbowe,Slaa,Lema,Tundu hawamo?haiwezekani serikali ipendelee waziwazi,kama hawatatengua hayo sijui mauzinduzi yao na kuyatangaza upya ili makamanda nao wapewe shavu la kuhudhulia uzinduzi tutaandamana nchi nzima na tuko tayari kufa!

VIVA MAKAMANDA WENZANGU!
CC Ritz Ben Saanane

Mkuupale yale matukio sio ya kuwakilisha itikadi ya vyama vyao, Mziray ni mwenyekiti wa TCD i hope!!!? so kuna nn mbaya hapo, na isitoshe, katiba haiishii kipewa nakala ni juu ya kushiriki mchakati mzima wa kuipata
 
Na rasimu ya katiba ya Tanganyika ipo wapi?

Kwani huoni kama kuwa na katiba ya Tanganyika it has to be a process na process ni lazima ianzie mahali Fulani! Hapa ndipo wenzio wanashangilia kwamba wamepata pa kuanzia. Usikatishe tamaa mtazamo wa wenzio kwa kosa la kutokuwa na vision nzuri
 
-tume ya jaji Warioba yapendekeza sekali tatu.
-serkali ya zanzibar, ya tanganyika na ya muungano.
mambo ya muungani ni 7 ambayo ni:
1)katiba ya jamhuri ya muugano wa tanzaia
2)sarafu na benki kuu
3)mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa
4)ushuru
5)ulinzi na usalama
6)usajili wa vyama vya siasa
7)uraiya na uhamiaji

Maoni yangu.

Mambo saba yaliyopendekezwa kuwa ya muungano, ni sawa na kumi namoja,mambo hayo ndio ambayo wazanzibari kwao ndo kero kubwa za muungano.

Uraia na uhamiaji (ni mambo mawili)
Ulinzi na usalama (ni mambo mawili)
Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa( ni mambo mawili0
sarafu na bank kuu ( haya ni mambo mawili)

Kwa mapendekekezo hayo ni mambo kumi na moja yalio pendekezwa, bado Warioba hajaondoa kero za muungano, tunarudi kule kule ambako tunakotoka, tunataka Mamlaka kamili ya zanzibar itakayo jiamulia mambo yake ya nje na ya ndani, hata tanganyika vile vile.

Rasimu hii ipo wezekano wazanzibari kuikata asilimia 66 wanaotaka mkataba, haitapita,
 
mkuu ni haki yako je huoni kama ndo kikwazo kwa kila kitu. mathalani waziri anateuliwa na rais ,makatibu wakuu wanateuliwa na rais je hapa nani atamwajibisha mwenzie ndo maana matatizo hayaishi kwenye hii nchi then mnasema chadema ndo wabaya kumbe ndo tatizo wa mfumo

Sio kweli, matatizo ya TZ hayaletwi na Raisi kuwa na madaraka mengi, la hasha! bali yanaletwa na sisi Watz wenyewe, mbona Wakoloni walikuwa na mfumo kama huu kila kilikuwa kinafanywa na Magavana na Koloni lilikuwa linakwenda na mambo yanafanya kazi?

Hivyo tatizo sio mfumo bali ni SISI watu, China wana mfumo kama wetu tena na zaidi wao hata vyama vya Upinzani hakuna wala Uchaguzi hakuna, mbona wanakwenda?
 
Mpaka katiba ikaja timia may be itakuwa 2016-2017 dogo Zitto atakuwa ashakuwa mtu wa miaka 41 possibly ataiwakilisha chadema iliyo na mtu mmoja tegemezi kwa sasa ambaye by that time atakuwa hana nafasi tena ya kugombea kwasababu ya umri.
 
Mkuu hujaelewa, hii ni hatua ya kwanza ya kuunda kitu 'mama' then ikishapita ndo sasa katiba za serikali husika zitaundwa. Sasa hivi hicho unachotaka hakiwezi kuwepo kwa sababu this is just a proposal mkuu!
elimu juu ya katiba bado kabisa inahitajika
 
Wadau soft copy ya rasimu ya katiba imeshaanza kupatikana, baadhi yetu tupo mikoani, twawezaje kuipata hiyo rasimu ya katiba mpya
 
Hapo ni ujinga mtupu. Jimbo kuwa na wabunge wawili kwa maslahi ya nani na kuwakilisha nani? na raisi anakuwa na wabunge kuwakillisha nini?. inamaana tutakuwa na wbunge zaidi ya 700 na gharama za kufuga wadudu hao zitalipwa nani.Wanawake wanaweza na wamekwisha jiwezesha waingie kupambana.Lazima mihimili hii iwe tofauti.

Kama sikosei tume imependekeza kuwe na majimbo 25 ya uchaguzi
 
kwa kweli wamejitahidi, inaonekana wamejitahdi sana na unaona hasa kua wameacha vyama vyao na utashi wa makundi wanayoyawakilisha.

kwa vile hii ni zero draft, kilichobaki sasa ni kuipitia kwa undani na kujenga hoja, lipi libaki na lipi liondoke. huo ndio msingi wa majadiliano yetu. tujitahidi kujenga hoja kwa kila tunaloona halilko sawa na lipi liwepo kama watanzania. na tuwe tunatumia logics na sio hamasa na utashi wa kivyama. katiba ni ya wote, waislam, wakristo na wasio na dini, wanyamwezi wazigua washirazi na wengineo

shime tutumie mda kuipata na kuisoma kipengele baada ya kipengele
 
Hii ya kwetu bado itakuwa cha mtoto, Wao Kenya Jaji mkuu anaomba kazi hateuliwi.

Madaraka ya raisi bado makubwa na lazima yathibitiwe.Raisi ateu na kisha kuthibitishwa na bunge Mkuu wa Majeshi na mawaziri wake tu. IGP,GCP,CJ na wengine waombe nafasi hizo.Waryoba alikuwa amefungiwa kwenye mtungi wakti katiba ya kenya anaandaliwa na mbona maoni hayo yalitolewa na wananchi wengi au yeye kachukua maoni ya raisi aliemadarakni na kuyaweka. Hii haikubaliwi kabissa. Taasisi za umma lazima ziwe huru kweli ili kuendesha utawala bora.
 
-tume ya jaji Warioba yapendekeza sekali tatu.
-serkali ya zanzibar, ya tanganyika na ya muungano.
mambo ya muungani ni 7 ambayo ni:
1)katiba ya jamhuri ya muugano wa tanzaia
2)sarafu na benki kuu
3)mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa
4)ushuru
5)ulinzi na usalama
6)usajili wa vyama vya siasa
7)uraiya na uhamiaji

Maoni yangu.

Mambo saba yaliyopendekezwa kuwa ya muungano, ni sawa na kumi namoja,mambo hayo ndio ambayo wazanzibari kwao ndo kero kubwa za muungano.

Uraia na uhamiaji (ni mambo mawili)
Ulinzi na usalama (ni mambo mawili)
Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa( ni mambo mawili0
sarafu na bank kuu ( haya ni mambo mawili)

Kwa mapendekekezo hayo ni mambo kumi na moja yalio pendekezwa, bado Warioba hajaondoa kero za muungano, tunarudi kule kule ambako tunakotoka, tunataka Mamlaka kamili ya zanzibar itakayo jiamulia mambo yake ya nje na ya ndani, hata tanganyika vile vile.

Rasimu hii ipo wezekano wazanzibari kuikata asilimia 66 wanaotaka mkataba, haitapita,
huwezi kuwa na zanzibar huru kabla ya kuwa na Tanganyika!
 
Mpaka katiba ikaja timia may be itakuwa 2016-2017 dogo Zitto atakuwa ashakuwa mtu wa miaka 41 possibly ataiwakilisha chadema iliyo na mtu mmoja tegemezi kwa sasa ambaye by that time atakuwa hana nafasi tena ya kugombea kwasababu ya umri.
Wewe ni CCM mambo ya Chadema yanakuwashia nini? naona hii rasimu imewachoma na msumari wa mwisho ipatikane tume huru ili muunde kambi imara ya upinzani, hakuna namna ya CCM kurudi madarakani kwa mfumo huu, Si Tanganyika wala si Zanzibar na wala si Federal Government
 
Hapo ni ujinga mtupu. Jimbo kuwa na wabunge wawili kwa maslahi ya nani na kuwakilisha nani? na raisi anakuwa na wabunge kuwakillisha nini?. inamaana tutakuwa na wbunge zaidi ya 700 na gharama za kufuga wadudu hao zitalipwa nani.Wanawake wanaweza na wamekwisha jiwezesha waingie kupambana.Lazima mihimili hii iwe tofauti.

Hayo majimbo 300 na zaidi hakuna tena. Tanganyika tutakuwa na wabunge 50 katika muungano wengine watakuwa katika bunge la Tanganyika
 
Hapo umeneno wana assume kama vile hakutakuwa na mgombea binafsi asiyekuwa na chama huyo nani atamrithi, au watatakiwa kuacha wasia wa nani atarithi kiti chake, hili jambo ni la ovyoo, demicrasia lazima iheshimiwe, watu wachague viongozi hii nchi democrasia ndo inakua hata kupiga tu kura watu bado hawajitokezi kuache kuweka vichocheo vya kukuza voter apathy nchini ni kosa kubwa! Akifa/akijihudhuru au kwa namna yoyote nafasi ya kuchaguliwa yoyote ikibaki wazi lazima uchaguzi ufanyike, hii ndo gharama ya democracy!
wamesema kama ni mgombea binafsi ametoka au kufariki patafanyika uchaguzi.
 
-tume ya jaji Warioba yapendekeza sekali tatu.
-serkali ya zanzibar, ya tanganyika na ya muungano.
mambo ya muungani ni 7 ambayo ni:
1)katiba ya jamhuri ya muugano wa tanzaia
2)sarafu na benki kuu
3)mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa
4)ushuru
5)ulinzi na usalama
6)usajili wa vyama vya siasa
7)uraiya na uhamiaji

Maoni yangu.

Mambo saba yaliyopendekezwa kuwa ya muungano, ni sawa na kumi namoja,mambo hayo ndio ambayo wazanzibari kwao ndo kero kubwa za muungano.

Uraia na uhamiaji (ni mambo mawili)
Ulinzi na usalama (ni mambo mawili)
Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa( ni mambo mawili0
sarafu na bank kuu ( haya ni mambo mawili)

Kwa mapendekekezo hayo ni mambo kumi na moja yalio pendekezwa, bado Warioba hajaondoa kero za muungano, tunarudi kule kule ambako tunakotoka, tunataka Mamlaka kamili ya zanzibar itakayo jiamulia mambo yake ya nje na ya ndani, hata tanganyika vile vile.

Rasimu hii ipo wezekano wazanzibari kuikata asilimia 66 wanaotaka mkataba, haitapita,
Wahenga walisema 'kuchamba kwingi mwishoe utashika mavi', hapa kinachotakiwa mambo yaliyomo kwenye HATI ya muungano ndio yafanyiwa kazi na si vinginezo.
 
Watanzania wanapenda mazingaombwe sana; kwa kadiri ambavyo nimefuatilia kwa juu juu na nikiendelea kusubiri kuona rasimu yenyewe ya hiyo Katiba mwitikio wangu ni tahadhari.
 
Tutakipinga, wewe nani? Mbona unawasemea watu wote wa TZ?

Kwani wewe nani mpaka ulazimishe watanzania mambo ya kurithishana hapa??huoni zile tunguli za naibu wa kipaza sauti kama atakosa anaweza kuzitumia ili arithi??hakuna kuogopa gharama za uchaguzi maana kumwaga oil za mashangingi tu kwa mwaka ni trilioni 1.8...masisiem yenu yanataka kuleta njama hapa,tutakataa kwa nguvu zote.
 
Back
Top Bottom