Hapo ni ujinga mtupu. Jimbo kuwa na wabunge wawili kwa maslahi ya nani na kuwakilisha nani? na raisi anakuwa na wabunge kuwakillisha nini?. inamaana tutakuwa na wbunge zaidi ya 700 na gharama za kufuga wadudu hao zitalipwa nani.Wanawake wanaweza na wamekwisha jiwezesha waingie kupambana.Lazima mihimili hii iwe tofauti.
Hapo nafikiri labda hujapaelewa vizuri, mimi nafikiri wana hoja ya maana kwamba, kama Mbunge akifariki basi hakuna haja ya Uchaguzi ili kuokoa gharama, basi mrithi wake atatoka Chama kile kile tu, hivyo ina maana Chama chake watateua tu, badala ya uchaguzi kufanyika, kwa maana nyingine tunapaswa tuchague Sera za Chama na SIO mtu!
mkuu unaneemeka na huu mfumo nini? nivizuri yapunguzwe ili watu wawe makini na kazi maana ukijua kwamba ukifanya fyongo watu hawatacheka na wewe hali itakuwa nzuri.Kwa nini madaraka ya Raisi yapunguzwe, mimi kama Mtanzania sitaki yapunguzwe na nina haki, hivyo ni sawa tu kwa Upande wangu!
Kama ni kweli basi balaa tupu.....nakumbuka wakati wa kupokea mawazo ya wananchi nilishauri likitokea hili basi aliyeshika nafasi ya pili awe mbunge kama watakuwa hawakupishana kwa zaidi ya asilimia 10% ya kura zilizopigwa vinginevyo ifanyike by election
Umempongeza kwa lipi? kipi umekifurahia kwenye rasmu ya katiba ? weka vitu,siyo unapongeza kumalizika kazi bila kujua/kueleza imekamalizikaje!!! je kama ameweka kwenye rasm yake pendekezo kwa mfano,mtanzania haruhusiwi kumiliki ardhi,hapo unampongeza kwa lipi?Ninaomba nichukue fursa hii kumpongeza joseph sinde warioba kwa kumaliza kukamilisha rasimu ya katiba na hasa kututengenezea katiba isiyolenga kutubagua watanzania kwa misingi mbalimbali mf. ukabila,udini nk. Japokuwa kunamapungufu ya hapa na pale lakini ninaimani mabaraza ya katiba yatafanya kazi yake vizuri na kurekebisha mapungufu hayo. HONGERA SANA WARIOBA
Hapo kwenye red tuipinge hii idea kwa nguvu zote, nani ataingia gharama kuwalipa lundo lote la wabunge hawa comedy show? idadi ya wabunge wa sasa inatosha sana.
wewe ni meshakwambia huna kitu kichwani, unaishia kukurupuka tu. watu wenye akili timamu hukaa na kufikiri kisha kupambanua mambo hawakurupukiYaani wamependekeza serikali 3
Ya shirikisho...
Ya Tanzania bara...
Ya Zanzibar...
Alafu wakajiamulia kutengeneza katiba ya serikali moja (shirikisho) peke yake!!! Sasa hizo mbili wamemuachia nani?!!! Ebo!
Wewe ni CCM mambo ya Chadema yanakuwashia nini? naona hii rasimu imewachoma na msumari wa mwisho ipatikane tume huru ili muunde kambi imara ya upinzani, hakuna namna ya CCM kurudi madarakani kwa mfumo huu, Si Tanganyika wala si Zanzibar na wala si Federal Government
warioba alikuwa anazindua rasimu ya katiba ya nchi sio ya mikoa wala ya majimbo..wala hakuzindua sheria.amezindua katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzaniaYaani wamependekeza serikali 3
Ya shirikisho...
Ya Tanzania bara...
Ya Zanzibar...
Alafu wakajiamulia kutengeneza katiba ya serikali moja (shirikisho) peke yake!!! Sasa hizo mbili wamemuachia nani?!!! Ebo!
mkuu unaneemeka na huu mfumo nini? nivizuri yapunguzwe ili watu wawe makini na kazi maana ukijua kwamba ukifanya fyongo watu hawatacheka na wewe hali itakuwa nzuri.
Sasa tunapaswa kuanza mchakato wa kuandika katiba mpya ya Tanganyika!Mi ndio najiuliza sasa 2015 Tanzania bara tutajichaguliaje viongozi?
-tume ya jaji Warioba yapendekeza sekali tatu.
-serkali ya zanzibar, ya tanganyika na ya muungano.
mambo ya muungani ni 7 ambayo ni:
1)katiba ya jamhuri ya muugano wa tanzaia
2)sarafu na benki kuu
3)mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa
4)ushuru
5)ulinzi na usalama
6)usajili wa vyama vya siasa
7)uraiya na uhamiaji
Maoni yangu.
Mambo saba yaliyopendekezwa kuwa ya muungano, ni sawa na kumi namoja,mambo hayo ndio ambayo wazanzibari kwao ndo kero kubwa za muungano.
Uraia na uhamiaji (ni mambo mawili)
Ulinzi na usalama (ni mambo mawili)
Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa( ni mambo mawili0
sarafu na bank kuu ( haya ni mambo mawili)
Kwa mapendekekezo hayo ni mambo kumi na moja yalio pendekezwa, bado Warioba hajaondoa kero za muungano, tunarudi kule kule ambako tunakotoka, tunataka Mamlaka kamili ya zanzibar itakayo jiamulia mambo yake ya nje na ya ndani, hata tanganyika vile vile.
Rasimu hii ipo wezekano wazanzibari kuikata asilimia 66 wanaotaka mkataba, haitapita,