Cheche Mtungi
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 2,619
- 771
wa bunge la muungano hii maanisha kuwa kutakuwepo na bunge la Tanganyika kama lilivyo bunge la wawakilishi la Zanzibar.wabunge 75 tu safi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wa bunge la muungano hii maanisha kuwa kutakuwepo na bunge la Tanganyika kama lilivyo bunge la wawakilishi la Zanzibar.wabunge 75 tu safi sana
Watu 331000 walitoa maoni ambao ni wafanyakazi, wakulima, ngos, vyama vya siasa
mkuu subiri kwanza uipate ondoa hofu mimi nimeipata kwa kutoa kopi toka kwa wanahabari iko poa.
Hapo umeneno wana assume kama vile hakutakuwa na mgombea binafsi asiyekuwa na chama huyo nani atamrithi, au watatakiwa kuacha wasia wa nani atarithi kiti chake, hili jambo ni la ovyoo, demicrasia lazima iheshimiwe, watu wachague viongozi hii nchi democrasia ndo inakua hata kupiga tu kura watu bado hawajitokezi kuache kuweka vichocheo vya kukuza voter apathy nchini ni kosa kubwa! Akifa/akijihudhuru au kwa namna yoyote nafasi ya kuchaguliwa yoyote ikibaki wazi lazima uchaguzi ufanyike, hii ndo gharama ya democracy!
Kama sikosei tume imependekeza kuwe na majimbo 25 ya uchaguzi
urais hawajasena vipindi vingapi ila kwa upande wa ubunge ndo kunaukomo wa vipindi 3Yaani baba lizy atawale vipindi vitatu?! Hadi 2020 hii Katiba italeta machafuko tanganyika!! Lazima tupinge kipengere hicho
nenda kale njaa inakuuma sasa, mia mbili per post zimekutosha kwa leo.
''kiwango cha kura mtu kuchaguliwa kuwa rais............kwa sasa ni mtu kuwa na kura nyingi
tume inapendekeza mgombea lazima apate asilimia zaidi ya 50''....Hapa ni PATAMU sana!
Tunaomba watuwekee hiyo rasimu online. Au kama kuna mtu anayo soft copy atumwagie hapa
Wadau leo ndio rasimu ya katiba mpya Inazinduliwa Karimjee .Uzinduzi huo unatarajiwa kurushwa na vituo vya TBC1, TBC Taifa, ITV, Star TV, Channel Ten, ZBC TV na ZBC, kuanzia sasa.Kila anaeweza na afuatilie.Hata hivyo ni vizuri kila mtu angetoa maoni yake ikiwa ni kitu gani ambacho akiona kimewekwa humo angefurahi sana na ni kitu gani ambacho kikiachwa atasikitika sana.
Nawasilisha!
There are currently 2045 users browsing this thread. (267 members and 1778 guests)
mwenye hii thread anyang'anywe ianzishwe nyingine... mods please facilitate this... aliyeanzisha thread hajui ku update mambo.... ama mods msaidieni
Mkuu Tuko hii ni rasimu ambayo itajadiliwa na makundi ambayo yameanishwa kwenye sheria ya mabadiliko ya katiba.This is another useless paper...
Huwezi kupendekeza serikali tatu, alafu ukajiamulia kutengeneza katiba ya serikali moja tu kati ya hizo!!! Ni upuuzi...
Yaani baba lizy atawale vipindi vitatu?! Hadi 2020 hii Katiba italeta machafuko tanganyika!! Lazima tupinge kipengere hicho
Sera za chama
zinaweza kuwa mashairi matamu sana yenye watakelezaji wabovu. Ni heri
tukachagua mtu kulingana na utendaji wake. Gharama za kurudia uchaguzi
si tatizo kama zitangapangwa na kutumika vizuri.