hapo ndo tunafanya makosa siyo kila kitu tuige twaweza kuwa na mfumo wetu pekee duniani kuwa na mawaziri 15 then rais mweyewe ndo ajue namna ya kucheza na wizara
Wanaj
yafuatayo ni baadhi ya maoni ya watanzania waliyotegemea kuyaona katika rasimu ya katiba mpya lakini giza;
- kutambuliwa kwa kiswahili kama lugha ya taifa
- mikataba yote kujadiliwa bungeni
ongeza na yako tuone
Pia kuna suala la kuwa na spika wa bunge aliyechaguliwa, labda na wananchi asiye na mafungamano na chama chochote cha siasa kati ya vilivyo bungeni.
Wanaj
yafuatayo ni baadhi ya maoni ya watanzania waliyotegemea kuyaona katika rasimu ya katiba mpya lakini giza;
- kutambuliwa kwa kiswahili kama lugha ya taifa
- mikataba yote kujadiliwa bungeni
ongeza na yako tuone
HIVI SASA, Ni matangazo ya moja kwa moja (live) kutoka ukumbi wa mikutano wa karimjee yakirushwa na TBC1. mgeni rasmi ni rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania JAKAYA MRISHO KIKWETE... KATIBA MPYA KWA TANZANIA YENYE NEEMA
TUFUATILIE
Acha kuwa na maono mafupi sana mkuu, kuwa flexible. Uchaguzi unaweza kuahirishwa hata kwa miaka miwili mbele kwa manufaa ya kizazi hki na kijacho. Mawazo yako ni mafupi mno kwani yameishia 2015. Kumbuka maslahi ya taifa ni zaidi ya uchaguzi wa 2015 unaowaza wewe ndugu. Elimu yako form four nini?
Wabunge wa sasa ni wajumbe pia katika bunge la katiba. Ninaamini kabisa wataipinga hoja ya kuwa na bunge lenye wabunge 75, kwani wengi wao bado hawajalipa mikopo ya hela walizotumia kwenye kampeni
Mimi nitakapoona imepitishwa kwamba mawaziri wasiwe wabunge nitapata faraja kwa kweli.Kwa sasa anaongea Jaji Warioba.
Kuna uwezekano huo, maana wabunge wote Chadema, Ccm , cuf nk ni waroho wa mishahara na posho za ubunge. Hoja ya wabunge 75 inatishia nafasi za wengi wao, so wengi ktk wabunge watapinga
mbona sioni elimu ,afya utalii,mikataba,rasilimali za taifa....?
Wabunge watakaopingwa twawashauri wagombee uwakilishi kwenye bunge la Tanzania Bara....Kuna uwezekano huo, maana wabunge wote Chadema, Ccm , cuf nk ni waroho wa mishahara na posho za ubunge. Hoja ya wabunge 75 inatishia nafasi za wengi wao, so wengi ktk wabunge watapinga