Wasije tu wakatumia hiki kipengeleSoma manifesto ya waliberali "The Liberal Agenda for the 21st century" utaelewa vizuri.
Hata mi ndio hofu yangu maana hapajafafanuliwa kwa yakinimkuu raia fulani hapo kwenye red. isije ikawa ni haki za maliberali!
Tunaongozwa na hisia na ushabiki wa kitotoTusitegemee la maana. Sanasana ni kukamilisha ratiba tu, maana ni kama bora liende!
Kama Tundu Lissu anaundiwa mzengwe wa kumwagwa Bungeni kwaajili ya katiba hii, unategemea kuna jema lolote kwa Mtanzania humo?
Its sadenning, maana nchi zingine kama zinatokea kuwa makini kupita kiasi, basi ni wakati wa kuandaa katiba. Lakini hawa wenzetu issue ni kuangalia maslahi ya makundi katika katiba!
The move is Kill Them Before They Grow!
This day should be remembered in History
Umepaka jina lako rangi nyekundu lakini hoja zako ni dhaifu..pole sana!!! Mchakato unaendelea, for your information.Wanapopendekeza Serikali tatu, hii Katiba itakuwa kwa ajili ya Serikali shirikisho au serikali zote tatu? Na kama ni ya Serikali ya shirikisho Zanzibar tayari wana katiba yao ya Tanganyika itaanza kuandaliwa lini?
Kinga ya rais na issue ya wakuu wa wilaya na mikoa viangaliwe upya. yaliyomo kwenye rasimu si matarajio ya watanzania
Uhuru wa Bunge, uhuru wa mahakama na uhuru wa Tume ya Taifa ya uchaguzi bado vina utata mkubwa katika rasimu hii hasa kwa kuwa bado involvement ya Executive ni kubwa katika vyombo hivi kupitia mamlaka ya rais. Kama tuna nia njema haya yarekebishwe.
Pia sioni maantiki ya kuwa na wabunge wawili kwa kila jimbo la uchaguzi. Hii ni gharama kubwa kwa watanzani kinyume na nia ya kupunguza gharama za uendeshaji kama ilivyo katika mapendekezo ya kupunguza baraza la mawaziri.