Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 239
hapo fika and hope ibaki as is. Tanzania kwa watu wake ni poa na kujitambulisha inaridhia.!!Hili lenyewe la Tanzania ukiwa nje ya nchi mtu akauliza unatoka wapi ukasema Tanzania swali linalofuata hama ni Where is Tanzania au Is Tanzania near Nigeria. Njia rahisi huwa ni kusema Tanzania is near Kenya. Sasa ikiitwa hiyo Tanzanite si ndo watasema, Is Tanzanite one of the Caribbean Islands? Hapo ndo tutachoka kabisa. Bora tubaki na hiyo Tanzania kiugumu ugumu
Pia kama muungano una mambo 7 tu serikali itakuwa na nguvu zipi? Hata hilo bunge la watu 75 litafanya nn?Kutakuwa na mkanganyiko sana, kwani hata wabunge 50 wa kutoka Tanzania Bara ni wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika majimbo ya mikoa 25, kwa hiyo wabunge wengi wa sasa hawataweza kugombania nafasi 25 za wanaume na 25 za wanawake, itabidi wasubiri ubunge katika serikali ya Tanganyika ambayo kwa wakati huo itakuwa haipo, na wao watakaa benchi muda wa kutosha tu!