Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kila maoni ni copy and paste kutoka KENYA?
Kila jimbo la uchaguzi liwe linatoa wabunge aina mbili mwanaume na mwanamke .....what is this?
Ukomo wa mtu kuwa mbunge ni vipindi 3
Tume ya uchaguzi , majkumu yawe ni pamoja na ya msajili wa vyama vya siasa, no more Tendwa,
wajumbe wa tume sifa kuteuliwa ktk tume ziwekwe kwenye katiba nani mwenye sifa
Mmmmh! Watu mna maono..! Hii inaweza kuwa kweli.hii rasimu 50% iko safi 50% ni upuuzi,rais amebaki kuwa kama mfalme,warioba ana matatizo kichwani,na pia nanusa harufu ya kuendelea kuwa na rais dhaifu madarakani hadi 2017 kutokana na makosa ya makusudi katika hii rasimu,and by that time zitto na january watakuwa 40 years old,hesabu za ------ zitakuwa zimetimia.
Serikali tatu is a diversion, but this is a common thread with intellectuals, from Nyalali and now Warioba. This is scarcely new. While I hardly see any utility in the idea, I grant it will remove the awkwardness of our unique union. Sadly, I am not disposed to say the same about our poverty. In fact, you have argued correctly that the added burden of extra bureaucrats will not be negligible.
I do not expect the revival of the use of Tanganyika, a defunct state. That would be confusing and even more awkward than the two government union we have now. To which purgatory did this Tanganyika hybernate for all these years? Did it resurrect like Lazarus?
That said, Tanzania bara is a misnomer if not an outright contradiction, for in Tanzania you have Zanzibar, hence Tan-Zan, which we lived with for sometime while searching for a proper name.
I am not liking either Tanzania Bara or Tanganyika (sentimentalities aside) for this set of Tanzania complement Zanzibar.
I am not sure I like the idea anyway. The bulk of our problems lie with Zanzibaris who want full autonomy (an euphemism for breaking the union), not Tanzanians who want a third government.
In giving Tanzanians a third government, Warioba and team, like a geek programmer sailing high in the tech cloud, provided a technical solution that does not address a nagging pain.
I want to see if they have addressed the nagging pains.
We hasten to add that "Tanzania Bara" is not synonymous with Tanganyika. Indeed, Tanzania Bara is the same geographical region as Tanganyika Bara. It is the non coastal part of Tanzania. The opposite of "bara" is not island. It is coastal.
Wapo watu wengi tu ambao hawana affiliation na chama kimojawapo cha siasa. Inawezekana wakawa na vitu kadhaa ambavyo wanakubaliana na chama fulani lakini kukawa na vitu vingi tu ambayo hawavikubali katika chama husika. Wengi wetu tunapenda demokrasia na tunataka kuona mabadiliko (read: maendeleo), bila kujali sana yanaletwa na chama gani.
Wengine unaweza kuona wanafanya mambo fulani kwa ajili ya kulinda au kupata maslahi fulani ama binafsi. Na ndio hapa unapata wanaCDM waliomo CCM na pia wanaCCM waliomo CDM (kwa mfano tu!)