Mapolomoko
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 1,751
- 422
Tume ya uchaguzi iitwe tume huru ya uchaguzi
Tume iunganishwe na msajili wa vyama
Wajumbe wa tume wawe na sifa zilizoanishwa katika katiba
Wajumbe waombe nafasi
Tume ya kuchambua maombi - Jaji mkuu, majaji, maspika,
Baada ya majina kuteuliwa, yapelekwe kwa raisi, naye aidhinishe mwenyekiti, katibu na wajumbe 6
Majina yapelekwe na yaidhinishwe na bunge
Viongozi wa kisiasa na wa asasi za kiserikali wasiwe wajumbe...
So far so good!! Mapungufu lazima yawepo! Sikutegemea kazi nzuri namna hii!
Kadhalika itawekwa humu JF Kwa mjadala zadi kabla ya mabaraza ya katiba kuijadili.Rasimu inatakiwa ichapishwe kwenye gazeti la serikali, magazeti ya kijamii ili wananchi waipate kirahisi na kusoma kabla ya mabaraza ya katiba. Nakala zitatolewa za kutosha na zitapatikana kuanzia wiki ijayo
mawaziri wasizidi 15. bunge liwe la watu 75, 20 zanzibar 50 bara, 5 walemavu. mia
mawaziri wasizidi 15. bunge liwe la watu 75, 20 zanzibar 50 bara, 5 walemavu. mia