RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

mawaziri wasizidi 15. bunge liwe la watu 75, 20 zanzibar 50 bara, 5 walemavu. mia
 
Tume ya uchaguzi iitwe tume huru ya uchaguzi
Tume iunganishwe na msajili wa vyama
Wajumbe wa tume wawe na sifa zilizoanishwa katika katiba
Wajumbe waombe nafasi
Tume ya kuchambua maombi - Jaji mkuu, majaji, maspika,
Baada ya majina kuteuliwa, yapelekwe kwa raisi, naye aidhinishe mwenyekiti, katibu na wajumbe 6
Majina yapelekwe na yaidhinishwe na bunge
Viongozi wa kisiasa na wa asasi za kiserikali wasiwe wajumbe...

Siungi mkono hoja, rais atabaki kuwa mfalme?
 
Serikali iwe ndogo. Serikali ya muungano itakuwa na mawaziri wasiozidi 15
  1. Bunge la muungano litakuwa na watu 75 yaani 20 from zanzibar, 50 from tanzania bara na 5 wa kuteuliwa. Tanzania bara kutakuwa na majimbo 25 tu na kila jimbo litatoa wabunge wawili yaani mwanaume na mwanamke
 
Serikali za Majimbo NO ,ILA SABABU DHAIFU , KUWA KUNA DALILI ZA BAADHI KUTAKA KUJITENGA KIKABILA, KIDINI NA UKANDA
 
Wanasema majimbo yangerudisha udini na ukanda.
 
Utawala majimbo ungeifanya Tanzania kuigawa nchi kwa misingi ya ukabila, udini na ukanda. Majimbo yatagawanya raslimali za taifa katika vipande vipande
 
Serikali za majimbo

kwa kuwa tuna serikali ya muungano, majombo yatakuwa ni gharama kubwa na kuleta migawanyo ya kidini,kikabila na dalili za kujitenga

utawala wa majimbo unairusha nchi katika udini, ukabila na ukanda......ukabila na udini utakuwa mkubwa
majimbo yatagwa rasilimali ktk vipande vipande

hatukupendekeza majimbo
 
Rasimu inatakiwa ichapishwe kwenye gazeti la serikali, magazeti ya kijamii ili wananchi waipate kirahisi na kusoma kabla ya mabaraza ya katiba. Nakala zitatolewa za kutosha na zitapatikana kuanzia wiki ijayo
Kadhalika itawekwa humu JF Kwa mjadala zadi kabla ya mabaraza ya katiba kuijadili.
 
serikali za majimbo imekataliwa
1. Kwa kuwa gharama zitakuwa kubwa baada ya kuwa na serikali 3. Gharama zitakuwa kubwa
2. Itasabaisha mvutano wa kidini, ukabila, kanda, kujitenga na upendeleo wa iana mbalimbali... So ni dalili mbaya kwwetu......
3. No mahakama ya kadhi- si suala la muungano??????????mmmhhhh
 
mahakama ya kadhi...tuliona sio suala la muungano. nchi washirika watazungumza

inaweza kuwapo bila matatizo
 
Back
Top Bottom