RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

kwa bara mahakama ya kadhi itakuwepo kwa kuangalia uzoefu wa znz, kwa kuwa znz wanayo
 
Mahakama ya Kadhi , sio suala la Muungano , na kwa kuwa znz kuna mahakama ya kadhi na haipo kikatiba basi bara ijifunze kutoka znz kwa suala hilo kutokuwa la kikatiba
 
Mahakama ya kadhi sasa kushughulikiwa na nchi husika. Halitaingizwa kwenye Muungano. Tanzania bara ijifunze kutoka zanzibar kwa kuwa na mahakama ya kazi nje ya katiba
 
Kuwepo kwa wakuu wa mikoa na wilaya-sio suala la muungano
 
Shehe ponda huyo mahakama ya magaidi ktk katiba NO.
 
Suala la wakuu wa mikoa na wilaya si suala la muungano hivyo nchi husika ndizo zitaamua
 
wakuu wa mikoa na wilaya;

sio swala la muungano litajadiliwa na serikali za ndani

serikali za mitaa
 
Jamani huyu Warioba mbona ananikosha leo........nasubiri tu atangaze kufuta vyeo vya UDC na RC niwaache na thread yenu nikasherehekee bar saa hizi.
 
Wakuu wa mikoa na wilaya sio la muungano , hivyo washirika wanaweza kuliangalia kwenye utendaji wao kama upande mmoja uwepo ama laaa

serikali za mitaa nalo sio la muungano hivyo kila serikali itaamua muundo wake yenyewe
 
Suala la uraia wa nchi mbili litashughulikiwa na sheria ya uraia
 
Uraia wa nchi mbili halipo kwenye katiba. Sheria ya uraia inaweza kushughulikia hilo
 
uraia wa nchi mbili (2)
aina ya uraia itashughulikiwa na sheria ya uraia
suala hili lishughulikiwe na sheria ya uraia
 
Kwa muhtasari tu mpaka hapa wamejitahidi sana, sijasikia kuhusu mahakama ya kadhi au OIC coz haya ni mambo ya kupingwa haraka sana.
Katika muhtasari huu mambo ambayo napendekeza tuyapinge ni;
1. Wabunge awe mmoja tu kila jimbo na si wawili kama walivyosema. Coz hii itaongeza ukubwa wa bunge na ghalama za kuliendesha zitakuwa kubwa sana na watanzania kuendelea kuwa masikini.
2. Mawaziri wasiteuliwe moja kwa moja na Rais bali watume maombi ya kuomba nafasi hizo na wasiwe wanasiasa au wasiwe na vyama vyao ila waende kama watanzania, na wafanyiwe open interview watakaoshinda ndo rais awatangaze na bunge lithibitishe.
3. Muungano uwe wa serikali tatu yaani JMT, Zanzibar na Tanzania bara au Tanganyika. Na rais wa JMT ndo awe na mamlaka ya nchi.
Kwa sasa nimeyaona haya naomba kuwasilisha
 
Uraia , hili linaweza kumalizwa na serikali washirika ,
pamemaliza na sasa ni shukrani tuu
 
Back
Top Bottom