Maoni kuhusu
1. huo ni upuuzi......why wa kike na wa kiume.....haya ni masaburi na u-mulugo
2. Ziwepo nafasi za kuteuliwa na Rais lakini isiwe nafasi zote kwenda kwa walemavu may be walemavu wapewe to the maximum of 40% ya wabunge watakaoteuliwa na Rais
3. Misingi ya uwepo wa viti maalum iko pale pale, yote ikiwa uwakilishi wa wananchi kupitia vikundi.....tatizo Wanasiasa waka-abuse huu mfumo.......Hapa idadi ndio ipungue na sio kufuta
4. It is utterly ridiculous kuwa na vipindi vitatu vya Urais.....ni Upuuzi.......vipindi viwili vinatosha....na pia marupurupu ya ustaafu ya U-Rais yapunguzwe
5.Hapo haki ya demokrasia ya uchaguzi inakuwa "imepokwa".......kama mbunge atakuwa amaeondolewa na wananchi.....basi wananchi wapewe nafasi ya kuchagua muwakilishi wao mwingine....kuwepo na mechanism ya wananchi wa jimbo husika kuchangia gharama za uchaguzi
mbona unaonekana huna unachojua,viti maalumu hakuna isipokuwa viti maalum vitakuwa kwa wenye ulemavu,wananchi wanauwezo wa kumfukuza mbunge kama wataona hafai,mbunge wa kuchaguliwa akifa kama alitokana na chama hakuna uchaguzi chama kitapendendeza mwingine,kama alikuwa ni mgombea binafsi uchaguzi mdogo utakuwepo.