Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Hii itakuwa demokrasia ya Tanzania, tutakipinga hiki kipengele hadi kibadirishwe kabla ya kura ya NDIYO NA HAPANA
Tutakipinga, wewe nani? Mbona unawasemea watu wote wa TZ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii itakuwa demokrasia ya Tanzania, tutakipinga hiki kipengele hadi kibadirishwe kabla ya kura ya NDIYO NA HAPANA
Sio kweli ukiangalia kwa undani zaidi utaona kwamba, kama ikiwa hivyo ina maana wananchi watakikataa Chama kwenye Uchaguzi unaofuata, hivyo ili Chama kiweze kushinda ni lazima kihakikishe kinakuja na Sera nzuri na zinazokubalika na pia kuweka Mgombea ambaye anaweza kuzisimamia, chama ambacho kitaweka Wasanii basi Wananchi watakikataa Uchaguzi Mkuu!
Hivyo ni mfumo mzuri sana tu, hasa huko mbeleni.Hizo gharama za Uchaguzi ni kubwa sana tunaweza kuzifanyia mambo mengine!
Kifo cha ccm kimewadia,sasa rais kushtakiwa na bunge,viti maalum hakuna, pamoja na mengi mazuri kali ni kuwa mbunge akifariki,mrithi atatoka chama alichokuwa aliyefariki,hapa kuna tatizo kwani ni sawa na kuamini wananchi walichagua chama na si mtu kwa sifa na uwezo wake,pia ni kuamin anayepewa nafasi anakubalika na pia ni kuwanyima haki za msingi watu wanaopenda na wenye nia ya kuleta maendeleo. My intake: Tusitishwe na gharama za uchaguzi kwa kumteua mtu asiyefaa.
Hata kama wangekuwa 100% hii rasimu ya katiba itawanyonga wenyewe.Ndio maana inaitwa rasimu siyo final inapelekwa kwenye mabaraza ya Katiba kujadiliwa, ila ndo hivyo hayo mabaraza 98% ni makanda wa CCM! tegemea vyeo vya ukuu wa mikoa na wilaya kuibuka with flying clours!
Ccm watauana ili warithi wenzi wao
Tuko ngoja nikusaidie kidogo, angalia mbali usiangalie karibu hawa Wazanzibar wameshatusumbuwa muda mrefu sana, sasa shortcut ya kuvunja muungano tumeshaipata, CCM haijawahi hata siku moja kuwaza serikali 3 wait n see hii ni zaidi ya movie.
Hakuna kitu kama Tanganyika Dunia hii, zaidi ya jina la Ziwa!
Atakae kusangaa mimi nitamsangaa zaidi maana jina tu ulilopewa/jipa linaashiria ubongo wako ulivo.Hakuna kitu kama Tanganyika Dunia hii, zaidi ya jina la Ziwa!
Ndio maana inaitwa rasimu siyo final inapelekwa kwenye mabaraza ya Katiba kujadiliwa, ila ndo hivyo hayo mabaraza 98% ni makanda wa CCM! tegemea vyeo vya ukuu wa mikoa na wilaya kuibuka with flying clours!
Jamani, kuna chama chenye sera nzuri zaidi ya hiki kinachotawala sasa???? Nini kinafanyika, mambo hovyooooo kabisa lol
mgombea binafsi ruksa, kura za rais lazima ziwe more than 50%
Wewe unapendekeza iweje.Mkuu naelewa. Ninachoona mimi ni kuwa huu mchakato wa katiba umefanywa ovyo kabisa ili 2015 ama tusiwe na uchaguzi, au tutumie ile ile katiba ya zamani.
Hebu jiulize; Mwaka 2014 hii katiba ya shirikisho ikikamilika, je 2015 Watanganyika tutapiga kura kuchagua viongozi wetu kwa kutumia sheria ipi? Tutatumia katiba ipi? Hiyo katiba itatengenezwa lini? Tume ya kutengeneza hiyo katiba itaundwa na nani? Endapo "Tanganyika" hatutafanya uchaguzi 2015, Je tutachagua raisi wa shirikisho na wa Zanzibar? Baada ya hapo Tanganyika itakuwa inaongozwa na nani (Kumbuka serikali ya shrikisho itahusika na mambo 7 tu)?
Ndio maana inaitwa rasimu siyo final inapelekwa kwenye mabaraza ya Katiba kujadiliwa, ila ndo hivyo hayo mabaraza 98% ni makanda wa CCM! tegemea vyeo vya ukuu wa mikoa na wilaya kuibuka with flying clours!
Je kama Mbunge alitoka upande wa Mgombea binafsi ambaye pia nimesikia Rasimu inapendekeza awepo mara baada ya kupitishwa kuwa Katiba ni nini kitafanyika?.