Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutarajie upinzani baadhi ya maeneo, kama madaraka ya rais, natamani nisikie maoni ya lissu na chadema kiujumla!
Yaani hawa wapuuzi tumewalipa mapesa yote hayo halafu wanatuletea upuuzi huu. Wabunge wawili jimboni wanafanya kazi gani? Shenzi zao.Nanukuu:
Kila Jimbo la Uchaguzi litakuwa na Wabunge Wawili mmoja mwanamke na mwingine mwanamume.
Mikataba kujadiliwa bungeni ni suala la kuwekewa kipao mbele kwa maslahi ya taifa maana hii mikataba inayosainiwa kisiri inatugarimu vizazi hadi vizazi
Rasimu hii bado mambo mengine yanahitajiufafanuzi, pamoja na viti maalumu kuondolewa lakini inapendekezwa kila jimbo litakuwa na wabunge wawili wa kike na kiume, sasa wanapatikanaje? au kila mgombea atakuwa na mgombea mwenza? wenye rasimu watfafanulie.
Hee!!! Wewe ndo umeandika hapa au??
Ukienda kupiga kura unachagua mbunge mwanaume alafu unachagua mbunge mwanamke .....among best candidatesRasimu hii bado mambo mengine yanahitajiufafanuzi, pamoja na viti maalumu kuondolewa lakini inapendekezwa kila jimbo litakuwa na wabunge wawili wa kike na kiume, sasa wanapatikanaje? au kila mgombea atakuwa na mgombea mwenza? wenye rasimu watfafanulie.