Rasmi: Barcelona yatangaza Messi kuondoka Klabuni hapo baada ya kushindwa kuongeza Mkataba

PSG wamekubaliana na Messi juu ya usajili wake na hivyo Leo atasaini kandarasi ya miaka miwili na mwaka mmoja wa nyongeza endapo atafanya vizuri,atavaa jezi namba 19 mgongoni
 
Nimeshangaa sana jamaa anasema eti kuna wachezaj wanajua Kuliko Messi na Cr7 ndo najiuliza wako wap sasa?..mpr ungekua mchezo wa chumbani sawa tusingeona.

Huwez pewa promo na dunia nzima kwa mda wa miaka 15+ bila kua na kitu cha maana unachocheza.

Messi&Cr7 hakuna mtu yoyote tena narudia hakuna mtu yoyote atafikia Level zao interms of football numbers na walivo divide opinions dunian katk sehem 2..nguvu yao kisoka na kimasoko ni kubwa kupita maelezo influence yao ni kubwa sana.

Wewe leo angalia tu kitendo cha Messi kutangazwa anaondoka Barca na La liga kwa ujumla ligi ishashuka thaman yake vby sana na followers hata kwny social media wamepungua na ndo ilikua ivo alivo ondoka Cr7 pia.
 

Huyo member "hazard" ndiyo kawaida yake, yeye ni kumponda tu messi. Sijui chuki ama nini!!!!

Na ballon ya 7 anachukua, sijui wataonyesha wapi face zao mzehe 🤣🤣🤣🤣
 
😂😂😂😂😂finally ka mbuzi kameondoka bandani haya sasa kakapambane nje ya banda
 
Huyo member "hazard" ndiyo kawaida yake, yeye ni kumponda tu messi. Sijui chuki ama nini!!!!

Na ballon ya 7 anachukua, sijui wataonyesha wapi face zao mzehe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We muache tu ajifuraishe mda ukifika atajua kua hajui.
 
Huyo member "hazard" ndiyo kawaida yake, yeye ni kumponda tu messi. Sijui chuki ama nini!!!!

Na ballon ya 7 anachukua, sijui wataonyesha wapi face zao mzehe 🤣🤣🤣🤣
Unavomsifia, uta manania awe mume wako. Uwe unampa mtigo wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…