Rasmi: Barcelona yatangaza Messi kuondoka Klabuni hapo baada ya kushindwa kuongeza Mkataba

Rasmi: Barcelona yatangaza Messi kuondoka Klabuni hapo baada ya kushindwa kuongeza Mkataba

The race to sign Messi is now on.


The Argentine arguably now becomes the most in-demand player in world football.

Messi has long been linked with a move to either Paris St-Germain or Manchester City, where he would be reunited with his former Barcelona boss Pep Guardiola.

America's Major League Soccer, which Messi has previously considered experiencing, is another option.
Breaking: ManCity will NOT be joining the race to sign Lionel Messi. The player is NOT in their plans.
 
Hesabu zimekataa kusoma, namba zimegoma kuunganika, Barcelona na Messi walikuwa na nia ya kuongeza mkataba, tatizo likaja kwenye kukidhi mahitaji ya kanuni za La liga, pesa ambayo angechukua Messi ( licha ya kukubali kupunguza kwa 50%) ingeharibu structure ya income ambayo Barcelona hawatakiwi kuivuka (Wage Cap).

Simply wameachana huku bado wanapendana.
 
Hawakujua kama Messi atakuwa available hivyo kama mkataba na Kane haujawa tayari sitashangaa wakichomoa betri kwa Kane ili wamsajili Messi.
PSG. Man City wameshamchukua Grealish kwa £100m na bado wanamtaka Kane toka Spurz, hawawezi kumchukua Messi, FFP rules zitawabana, japo naamini Guardiola anatamani kufanya kazi na Messi.
 
Hawakujua kama Messi atakuwa available hivyo kama mkataba na Kane haujawa tayari sitashangaa wakichomoa betri kwa Kane ili wamsajili Messi.
Absolutely yes. Jamaa kwa pesa ambazo angewaingizia kwa mauzo ya jezi tu, City wangefaidi sana, halafu pia angewaongezea ile X- factor ambayo huwa wanai-miss kwenye Champions League, remember last time Guardiola anashinda CL title alikuwa na Messi, alivyoondoka Barca hajawahi kushinda tena.
 
Uchawi tu 😂😂😂, we malkia anaishi miaka jiti unadhani kuna nini hapo 😂😂
Embu niambie na mimi wapi wanapologa kuongeza ukomo wa maisha aliyonipangia Mungu na mm niende mkuu 🤣 🤣
 
Man City washamchukua Jack na tayari kakabidhiwa jezi namba Kumi... Messi na no 10 kma alizaliwa nayo tusubiri... Jpo PSg watakuwa na nafasi nzuri let's wait
 
Ni official aisee nimeona Barcelona wamethibitisha. La liga itapoteza mvuto sasa aiseee. Baada CR7, M10 nae anasepa tena free daah
Upo sahihi mkuu japo ni suala gumu sana laliga kupoteza mvuto
.
Watafanyiwa promo wachezaji wengine Dunia nzima itawafahamu na tutawapenda.

Huoni haaland nadhani kwa promo inayopigwa hakuna asiyemjua haaland kwa sasa

Watakuja na wengine watafanyiwa promo .

Messi , Ronaldo ndio ni maarufu ila hiyo haimaanishi kwamba wao ndio wanajua sana mpira Dunia nzima .

Zipo namba zinapoga soka lakini hazipewi huo umaarufu.

Tukumbuke kuna biashara ya media.
 
Back
Top Bottom