Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
man city hawakawii ku cancel deal la Grealish.Kweli parefu sana. Ukizingatia clubs zinazolipa mshahara wa hivyo ni zakuhesabika. Labda aende Man City, PSG au China huko atalipwa vizuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
man city hawakawii ku cancel deal la Grealish.Kweli parefu sana. Ukizingatia clubs zinazolipa mshahara wa hivyo ni zakuhesabika. Labda aende Man City, PSG au China huko atalipwa vizuri.
Sio kwamba the deal is done and dusted?man city hawakawii ku cancel deal la Grealish.
ndo nimeona hapa tayari confirmed dakika kadhaa zilizopita.Sio kwamba the deal is done and dusted?
No Neymar
No Iniesta
No Verane
Imebaki kuwa ligi ya wavulana tuu
Tusiongee unafki mess ana kipaji asilia wapo walokaa ktk klabu bora na wakashindwa kutamba.Licha ya yote mpk timu ya taifa kinara yeyeHana alichopoteza. Kapata kila kitu. Barcelona nayo imefaidika, mpak chenji imebaki.
I'm waiting for La Pulga to prove me wrong, that he won't make it better unless he is at Spain and Barcelona.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uchawi tu [emoji23][emoji23][emoji23], we malkia anaishi miaka jiti unadhani kuna nini hapo [emoji23][emoji23]
MillardAyoAug 5, 2021
Club ya FC Barcelona imetangaza kuwa staa wao raia wa Argentina Lionel Messi hatoendelea tena kuitumikia FC Barcelona licha ya club na mchezaji kufikia makubaliano ya kubaki.
Barcelona wametangaza kuwa wanalazimika kumuachia Messi aondoke kwa sababu sheria za matumizi ya kifedha kwa vilabu vya LaLiga ndio imeleta kikwazo.
Messi (34) ameitumikia FC Barcelona karibia kipindi chote cha maisha yake, Messi alianza kuichezea timu za vijana za Barcelona toka 2003 alipojiunga nayo akitokea Newell’s Old Boys ya kwao Argentina na mwaka 2004 ndio akaanza kucheza timu ya wakubwa ya Barcelona.View attachment 1882056View attachment 1882057
Breaking: ManCity will NOT be joining the race to sign Lionel Messi. The player is NOT in their plans.Straight to Manchester City or United. Kastuka walitaka kumlalia michuzi.