Rasmi: Barcelona yatangaza Messi kuondoka Klabuni hapo baada ya kushindwa kuongeza Mkataba

Rasmi: Barcelona yatangaza Messi kuondoka Klabuni hapo baada ya kushindwa kuongeza Mkataba

Kuna wakati LaLiga na timu nyinginezo zilidhamiria kuhakikisha zinaisaidia Barca kuweza kumbakisha Messi plae Barca wakiamini alikuwa anaifanya LaLiga ionekane na thamani...

Sasa kama anaondoka, La Liga itarudi kuwa ligi isiyo na mvuto ukichukulia timu zao kubwa zimepigwa kiuchumi haswa na janga la Covid
Messi alikua tayari kupokea nusu ya mshahara wake lakini bado vitabu vinagoma
 
Ligi ya EPL itakuwa na wafuatiliaji zaidi akienda man City
 
It's official nendeni Twitter page ya PSG baba yake na Messi yupo huko Wana negotiate
 
Atue man city tu


Mazao ya lamasia huwa wanakauli ukitoka barca basi ukacheze team ambayo haitakuja kukutana na barca ata iweje
Ndio maana iniesta na xavi walienda far
 
ndo huo mshahara mkuu, kwani unafikiri Barcelona wamemuacha kwa ajili ya nini? pound milioni 64 mshahara tu si ndogo.
Kweli parefu sana. Ukizingatia clubs zinazolipa mshahara wa hivyo ni zakuhesabika. Labda aende Man City, PSG au China huko atalipwa vizuri.
 
Back
Top Bottom