Rasmi derby ya kariakoo imekufa, Simba wamekuwa dhaifu kipindi kirefu

Rasmi derby ya kariakoo imekufa, Simba wamekuwa dhaifu kipindi kirefu

Tafuta kumbukumbu zako vizuri. Mwaka wa nne? Mwaka jana tu msimu ulivyoanza Simba aliishinda Yanga. Mwaka jana huo huo tarehe 16/04/2023 Simba ilishinda Yanga 2-0, magoli ya Inonga na Kibu. Sasa hiyo miaka minne inahesabiwaje?

View attachment 3064901
UNGEMUACHA AENDELEE KUOTA ILI AKOJOE KITANDANI
 
Tafuta kumbukumbu zako vizuri. Mwaka wa nne? Mwaka jana tu msimu ulivyoanza Simba aliishinda Yanga. Mwaka jana huo huo tarehe 16/04/2023 Simba ilishinda Yanga 2-0, magoli ya Inonga na Kibu. Sasa hiyo miaka minne inahesabiwaje?

View attachment 3064901
Mtani huwa nakusifu sana unapitaga kimya kimya ila yakikuzidia inakubidi usimame utoe neno na hapo ujue kilichoandikwa kimekutachi. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Ila pole kwani mnaishi kwa shida sana sasa aisee.
 
ila Mukwala Debra na Karamou ni mali
Hivi mkuu umepata pa kujificha kweli?
Screenshot_20240809_061803_Chrome.jpg
 
Mtani huwa nakusifu sana unapitaga kimya kimya ila yakikuzidia inakubidi usimame utoe neno na hapo ujue kilichoandikwa kimekutachi. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Ila pole kwani mnaishi kwa shida sana sasa aisee.
Ha ha haa! Kimenitachi ndio, hawa vijana usipowaweka kwenye mstari watageuka kuwa wachambuzi wa hali ya hewa. Anasema Simba amefungwa miaka minne! 🀣 🀣 🀣
 
sitakuja Tena tazama Simba na yanga ila nGoja tu nitafute betri MKULIMA yangu(NATIONAL) ifufuliwe
 
Mechi ya derby ya Leo Yanga tupo kama tumecheza na Namungo

Simba tumewafunga sana, yaani huu mwaka wa 4 mnakuja kwenye mechi kama under dog[emoji240]

Derby hauvutii kabisa, Simba haina wachezaji wazuri

Wazee wa ubaya ubwela mnayumba.
Mara MUKWALA- ni striker mrefu kuliko goli kumbe mbumbumbu mnaibiwa.

Kwa Sasa Yanga vs Azam ndo derby

Simba tengeneza team, mo anawadanganya wale wachezaji wenu marasta hamna kitu
Hii ni kweli na kolo yoyote aliye popote ayasaikie haya.
 
Back
Top Bottom