Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
π π π Swahiba ila vitu vingine vinachekesha sana yaani.Wenzako wanatamba huko wana timu π
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
π π π Swahiba ila vitu vingine vinachekesha sana yaani.Wenzako wanatamba huko wana timu π
UNGEMUACHA AENDELEE KUOTA ILI AKOJOE KITANDANITafuta kumbukumbu zako vizuri. Mwaka wa nne? Mwaka jana tu msimu ulivyoanza Simba aliishinda Yanga. Mwaka jana huo huo tarehe 16/04/2023 Simba ilishinda Yanga 2-0, magoli ya Inonga na Kibu. Sasa hiyo miaka minne inahesabiwaje?
View attachment 3064901
Mtani huwa nakusifu sana unapitaga kimya kimya ila yakikuzidia inakubidi usimame utoe neno na hapo ujue kilichoandikwa kimekutachi. π π πTafuta kumbukumbu zako vizuri. Mwaka wa nne? Mwaka jana tu msimu ulivyoanza Simba aliishinda Yanga. Mwaka jana huo huo tarehe 16/04/2023 Simba ilishinda Yanga 2-0, magoli ya Inonga na Kibu. Sasa hiyo miaka minne inahesabiwaje?
View attachment 3064901
Hivi mkuu umepata pa kujificha kweli?ila Mukwala Debra na Karamou ni mali
Hadi unatukana kweli bao moja nalo tamu πUnaongea usenge sana
Hivi unajua maana ya derby?
Unajua historia ya hivyo vilabu 2 vya Kariakoo?
Azam ana historia gani ya kiushindani kati yake na Yanga mpaka wanapokutana ndio iitwe derby?
Mavi matupu umeandika
Ndo natoka bar muda huuHivi mkuu umepata pa kujificha kweli?
View attachment 3064989
Pole sana Mkuu. πNdo natoka bar muda huu
Acha tuPole sana Mkuu. π
Jibu swali, hiyo miaka mi4 ya kufungwa Simba umeanza kuhesabu tangu gemu ipi? Pole wewe usie na takwimu sahihiPole
Kwa kuwa wana marasta. Hata mi walitaka.kunisajili kwa kuwa nina marasta mkuu.ila Mukwala Debra na Karamou ni mali
Ha ha haa! Kimenitachi ndio, hawa vijana usipowaweka kwenye mstari watageuka kuwa wachambuzi wa hali ya hewa. Anasema Simba amefungwa miaka minne! π€£ π€£ π€£Mtani huwa nakusifu sana unapitaga kimya kimya ila yakikuzidia inakubidi usimame utoe neno na hapo ujue kilichoandikwa kimekutachi. π π π
Ila pole kwani mnaishi kwa shida sana sasa aisee.
Sasa dada ulitaka tuanze kuwashambulia wachezaji?Mkuu wenyewe wanatamba huko eti hawana cha kuwadai wachezaji. π€£π€£
wenzako wana rasta halafu wana hela. Rasta bila hela ni uchafu, nenda ukanyoeKwa kuwa wana marasta. Hata mi walitaka.kunisajili kwa kuwa nina marasta mkuu.
Atajulia wapi mtoto mdogo?!Hivi unajua maana ya derby?
Unajua historia ya hivyo vilabu 2 vya Kariakoo?
Azam ana historia gani ya kiushindani kati yake na Yanga mpaka wanapokutana ndio iitwe derby?
Mavi matupu umeandika
Hii ni kweli na kolo yoyote aliye popote ayasaikie haya.Mechi ya derby ya Leo Yanga tupo kama tumecheza na Namungo
Simba tumewafunga sana, yaani huu mwaka wa 4 mnakuja kwenye mechi kama under dog[emoji240]
Derby hauvutii kabisa, Simba haina wachezaji wazuri
Wazee wa ubaya ubwela mnayumba.
Mara MUKWALA- ni striker mrefu kuliko goli kumbe mbumbumbu mnaibiwa.
Kwa Sasa Yanga vs Azam ndo derby
Simba tengeneza team, mo anawadanganya wale wachezaji wenu marasta hamna kitu
Mukwala ana mikwara mingi tu ila hana uhatari wowote.........mpira wa umachacari ulishapitwa na wakatiila Mukwala Debra na Karamou ni mali
Time will tellMukwala ana mikwara mingi tu ila hana uhatari wowote.........mpira wa umachacari ulishapitwa na wakati
π π π Swahiba ila vitu vingine vinachekesha sana yaani.