Rasmi Diamond aiwasilisha Komasava kwenye tuzo za Grammy. Tutatoboa?

Tufanye kafanyiwa halafu pia kutokana na kufanyiwa huko ameniacha kimaendeleo.
Sasa ni hivi wewe fara siwezi kumuonea wivu mwanaume anayepata fedha kwa njia ya kufirwa na mwanaume mwenzake ni bora niendelee kuwa maskini kulipo kuuzalilisha utu wangu
Wewe ndio ulimfira? unaweza kuthibitisha hizo tuhuma zako? kama huwezi wewe unasumbuliwa na wivu tu wa kuachwa mbali kimaendeleo, furaha ya masikini ni kumsema vibaya mtu aliemzidi kipato bila ushahidi wowote
 
Wewe ndio ulimfira? unaweza kuthibitisha hizo tuhuma zako? kama huwezi wewe unasumbuliwa na wivu tu wa kuachwa mbali kimaendeleo, furaha ya masikini ni kumsema vibaya mtu aliemzidi kipato bila ushahidi wowote
Mimi ni team mondi ila kijana wetu alipelekewa moto bhana huo ndo ukweli wala hakuna wivu apo. Simple
 
Wivu unakusumbua wewe, kama unabisha lete ushahidi wa haya madai yako ? yaani umeandika maneno mengi halafu yote umeegemea kwenye majungu tu
 
Hakuna sehemu kunasema Wasafi walipewa ulevi sasa hiyo habari umetolea wapi
 
Mkuu hawa nigggaz pamoja kwamba wanasema mambo Kama hayo

Hawa jamaa wanapambana Diamond anatoa vyuma Sana

Mimi sio shabaki wa muziki wa Tz Ila huyu Dangote chibu simba atakuja kuleta Grammy
Gramy huchukui kirahisi hivyo!
 
Kama pdiddy kamla mondi mara moja hawezi kuchukua alitakiwa aliwe mara ya pili ndo achukue so sad did yupo jela.
 
ujinga upi mkuu? Kwani we huna habari diddy alikuwa anawatafuna wasanii wenzake halafu anawapa umaarufu na tuzo la grammy? Unadhani burna boy alishindaje grammy?
Diamond si mara ya kwanza kazi yake kupelekwa Grammy na amewahi pia kufanyiwa interview na Grammy pia hata kabla ya kwenda kwa Pdidy na hapo katikati alikuwa nominated na BET na akashindwa tuzo ikaenda kwa Burna boy ambaye alikuwa chini ya Pdidy.Diamond ameenda na Wasafi kiujumla kwa Pdidy kwaajili ya mziki na imepita miaka mitatu sasa ndio ngoma yake ya komasava aliyotoa hivi karibuni imefanya vizuri worldwide sasa hiyo connection na Pdidy inatoka wapi?
 
ndio maana nikasema alitakiwa arudi mara ya pili ili aweze kushinda tuzo la grammy.
 
ndio maana nikasema alitakiwa arudi mara ya pili ili aweze kushinda tuzo la grammy.
Kama ingekuwa ni kutafuta mafanikio kwa njia ya huo mchezo basi Walivyoenda kwa Pdidy baada ya hapo tungeona mafanikio yake kwenye soko la Marekani kama ilivyo kwa burnaboy alivyopasua kwa kipindi kifupi baada tu ya kuwa chini ya Pdidy but haikuwa hivyo kwa mondi.
 
Aisee, Diamond anapitia magumu mengi kwa sasa na ndiyo maana anaonekana kuwa mtu wa hasira tu, sijuwi alipakwa mafuta ya aina gani mgongoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…