Ndugu sio tunaumia tunasikitika.
Hivi hujui kwamba huyo didi aliyewafirafira watu hovyo yupo lupango na dhamana kakataliwa kwamba anaweza kuharibu ushahidi?
FBI wamesema wanaushahidi kibao ukijumuisha documents,video ,audio, items walizochukua kwenye nyumba yake pamoja na watu waathirika
Unaweza ukashangaa huyo domo naye akahitajika huko USA kutoa ushahidi kwa waliyofanyiwa .
Huyu did haya mambo yake yalikuwa yanaongelewa kitambo nilikuwa siamini ila alivyokamatwa na watu walivyojitokeza nimetokea kumchukia sana puff daddy.
Yaani katuharibia domo wetu hivihivi kasababisha wakenya wawe wanawasema wasanii wa bongo hovyo