Rasmi Diamond aiwasilisha Komasava kwenye tuzo za Grammy. Tutatoboa?

WCB wametangaza kuwa Diamond amewasilisha wimbo wa Komasava kuwania Tuzo za Grammy mwaka kesho.

Komasava imewasilishwa katika vipengele vya Best Music Video na Best African Music Performance.

Mnadhani atashinda mbele ya Burna Boy, Wizkid na magwiji wengine?

View attachment 3121644
Ambae hakumridhisha vizuri pididi hawezi pata tuzo
 
dot zote zimesomeka, zinaunganika kabisa, ni nyinyi chawa wake tu munaojipapatua
Mimi sio fani wake wa mziki bali nasupport watu wanaonyesha juhudi kwenye kazi zao na yeye ni mmojawapo wa hao situpende kutumia muda vibaya kwa kuchafua watu
 
wapi nimesema hana juhudi? namie ndio nimekuwa namchafua wakati mwenyewe ndie aliejitangazia ameenda kwa Didi
 
Ujajua .mshindii mpaka sasaaa
Hata d2 ulikosa mkuu
 
wapi nimesema hana juhudi? namie ndio nimekuwa namchafua wakati mwenyewe ndie aliejitangazia ameenda kwa Didi
Kwenda kwa Pdidy hakujustify kuwa kafanya hivyo unataka kuniambia wote walioenda kwa Pdidy wamefanyiwa hivyo?
 
WA jamii kama yake ni wengi sana
Usiseme jamii yake sema wavivu, wazembe,wambea,wenye chuki,wenye hiyo michezo kama wewe ndio mnafanya suala Pdidy iwe agenda kufurahisha mioyo yenu mtu ambaye hana interest na hiyo michezo huwezi kukuta anashadidiya wala kuliongelea
 
wapi nimesema hana juhudi? namie ndio nimekuwa namchafua wakati mwenyewe ndie aliejitangazia ameenda kwa Didi
Na wakafanya vitu ambavyo havifai kuwekwa hadharani? Ina maana ni vitu vichafu .so ni wao wenyewe walijichafua kabla hata did hajakamatwa
 
WCB wametangaza kuwa Diamond amewasilisha wimbo wa Komasava kuwania Tuzo za Grammy mwaka kesho.

Komasava imewasilishwa katika vipengele vya Best Music Video na Best African Music Performance.

Mnadhani atashinda mbele ya Burna Boy, Wizkid na magwiji wengine?

View attachment 3121644
Mhhh, tuone kama 'Baby Oil' aliyopakwa na P. Diddy itamsaidia, yetu macho.
 
Back
Top Bottom