Rasmi Diamond aiwasilisha Komasava kwenye tuzo za Grammy. Tutatoboa?

Rasmi Diamond aiwasilisha Komasava kwenye tuzo za Grammy. Tutatoboa?

Diamond platnumz anasemwa vibaya nyumbani tu, lakini ukiingia Club Noir Amsterdam kwenye mix zao lazima uisikie sauti ya mtoto wa Tandale. Lakini wabongo nuksi sana mambuzi zao
 
Waswahili wanachukia mafanikio ya Dogo na kumzushia kila jambo dogo ana nyota anauza nyimbo zake mwanzo walisema freemason sasa wamegeukia USA wakitoka hapo sijui watakuja kusema nini tena...
Kuna kipindi mange kimambi aliwaaminisha watanzania kwamba jamaa ni shoga na hawezi kuzalisha , kilichotokea amezalisha east afrika nzima
 
Back
Top Bottom