Chief Sanze
JF-Expert Member
- Jun 13, 2014
- 1,668
- 3,736
Hongera sana sio mume karudi anataka kitumbua wewe unaperuzi tu JF.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I miss him anakuja kesho anatia timuHongera sana sio mume karudi anataka kitumbua wewe unaperuzi tu JF.
😂😂😂 bado ukimmendea mwingine naye nakuharibiaSina hamu na wewe. Umenipeperushia ndege wangu wote 😅😅
Tutamchamba hatumuachi, yy afanye akatulie kwa mumewe 😂Kwanza hapa anatuzooom tu akirudi utasikia atavyotuita wanafiki🤣🤣🤣
Wacha weee.!! Maufundi ya kimasaini yotree unayamwaga kwa shem 😂😂😂Huyu hawezi nimejitolea kuliwa vyema
Nikikutajia Id Yangu Original Utashangaa..😹😹😹🤣🤣🤣🤣 ww unanijulia wapi jamani mbona mazito haya??
wapi unasema unatujuaNikikutajia Id Yangu Original Utashangaa..😹😹😹
Lets Keep this Way!
We Jua Nakujua Hahaha na Tulishakutana 🤣🤣😇😇
Ni tag tumuharibie😂😂😂 bado ukimmendea mwingine naye nakuharibia
Kila la kheri mkuu, ila nahuyo akikuwangia usisite kurudi jf home sweet home.Nimepata mume na kwakweli kwa sababu nilikuwa humu kama mmoja wa wanajf napenda kutoa shukurani kwa wanajf wote, mie nimekuwa na familia ambayo inanitegemea kwa sasa.
Na kama hamtaniona hapa JF nikwamba mambo yamenizidi asanteni na kwaherini. Niwatakie wakati mwema.
N:B Maisha ya ndoa mtu hataki kuona upo busy na JF ataona wivu. 😒😒
Have a blessed time
Wenu ,
Unique Flower
Wewe na smart911 nanyi mtaaga lini? Mkaenjoy mahaba yenu
Shindwa sijawahi kukutana na member yoyote humu, huo ni uongo!!Nikikutajia Id Yangu Original Utashangaa..😹😹😹
Lets Keep this Way!
We Jua Nakujua Hahaha na Tulishakutana 🤣🤣😇😇
Huyu ni mchawi kabisa kashanifunga na damu yake kanipa damu yake niinywe naakanywa na yanguKila la kheri mkuu, ila nahuyo akikuwangia usisite kurudi jf home sweet home.
Yenu lini??
Duh kweli si mchezo! Hiyo huku kwetu tunaita vampire loveHuyu ni mchawi kabisa kashanifunga na damu yake kanipa damu yake niinywe naakanywa na yangu