Rasmi, Israel yathibitisha kumuua Hashem Saffiedine, kiongozi mpya wa Hezbollah aliyechaguliwa hivi karibuni

cc: FaizaFoxy, Ritz
 
Inatosha sasa natubu kwa niaba ya viongozi wa Hezbollah na Hamas..
Natubu jamani..! Israel natubu...!
huku natetemeka..🙌🙌
 
We naye wametangaza mwezi mzima wamemuwa, kumbe hizo ni fake news kutoka israel si aibu hio. PM na Jeshi lake walitangaza wamemuwa huyo Hashim Seif Dini week tatu za nyuma kumbe waongo.

Mimi nakupa 💯 huyo jamaa yuko hai. We huoni Hezbullah hawajatangaza kama kafa.
 
Na kama Mungu wa Waisrael ndiyo huyu wa kwenye Biblia basi nitatangaza rasmi kuacha na Biblia kama kitabu kitakatifu.
Acha mkuu. Maana haitabadilisha chochote ili Mungu asiwe Mtakatifu. Atabaki Mungu aliye Mtakatifu milele. (Mhubiri 7:29Tazama, hili tu nimeliona; Mungu amemfanya mwanadamu mnyofu, lakini wamebuni mavumbuzi mengi.) Sasa hapa kwenye kubuni kila mtu anabuni anachotaka wengine walibuni October 7. Tuuwe wayahudi kwenye sherehe. Na myahudi naye anabuni kumaliza makundi hasimu kwake.
 
Haya mmeshamuua ! Kwani vita imekwishaaaa ?? Ndo inapamba moto !
 
Kuna watu wanauliza inawezekanaje Israel wanaweza kufahamu viongozi wote wa hezbollal na Hamas walipo na wanashindwa kujua Mateka wao wamewekwa wapi?
 
Na kama Mungu wa Waisrael ndiyo huyu wa kwenye Biblia basi nitatangaza rasmi kuacha na Biblia kama kitabu kitakatifu.
Si huwa mnasema wayahudi hawautambui ukristo sasa leo tena inakuwaje muwahusishe nao?
 
Si huwa mnasema wayahudi hawautambui ukristo sasa leo tena inakuwaje muwahusishe nao?
Ni kweli Wayahudi hawamtambui Yesu kama Masihi ambaye njia ya kweli na uzima ila ata mimi nashangaa imekuaje biblia hiyohiyo inawanadi? Dini iman kaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…