Rasmi, Israel yathibitisha kumuua Hashem Saffiedine, kiongozi mpya wa Hezbollah aliyechaguliwa hivi karibuni

Kuna watu wanauliza inawezekanaje Israel wanaweza kufahamu viongozi wote wa hezbollal na Hamas walipo na wanashindwa kujua Mateka wao wamewekwa wapi?
Mateka hio ni gia tu kuendelea kutoa kipigo... watakua walishiauliwa siku nyingi
 
Na kama Mungu wa Waisrael ndiyo huyu wa kwenye Biblia basi nitatangaza rasmi kuacha na Biblia kama kitabu kitakatifu.
Mkuu huyo Mungu wa Israeli ndiye huyo anaye hubiriwa kwenye bibilia takatifu.tena ndiye aliyefundisha vita (Mwanzo 3:3 ) ili waisraeli wasiwe mlenda mlenda mbele ya wafilisiti,wahit,wahivi,wayebusi n.k, linapokuja suala la kunuiwa kufutwa ulimwenguni hapo ndipo utawajua kwamba amiri jeshi wao ni YAHWE au laaa!.
Kwahiyo kama unataka kuacha kuiamini bibilia acha tangia sasa maana huo ndo ukweli.
 
 
Huyu si alijitutumua kutoa onyo Nasrallah alivyobondwa, tayari nae kazamishwa ardhini
 
Hivi Mungu wa Israel ni GAIDI?
Ukipigiwa Mwanao utapotezea??
hizibula wange rejea alichofanyiwa Farao na Mungu wa Yahudi!
👇👇
Kutoka 4:22 Nawe umwambie Farao, Bwana asema hivi, Israeli ni mwanangu mimi, mzaliwa wa kwanza wangu;
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…