RASMI - Kenya ita Copy Katiba Ya Tanzania kwa Mfumo wa serikali

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
4,310
Reaction score
7,465
Wakuu,
Ripoti iliyo tarajiwa na wakenya baada ya salamu za heri kati ya Odinga na Kenyatta ipo tayari.

Japo sina riporti mkononi, (Inatolewa kesho kwa umma) habari za leo za Citizen TV zimesema bayana kwamba Kenya sasa itachukua mfumo wa katiba ya Tanzania.

Vyeo vya juu ni Rais, Naibu wake na Waziri mkuu ambaye atachaguliwa na Rais.
Riporti kamili na nukuu za mahali kamati ya mabadiliko ilipo taja Tanzania nita update uzi huu kesho.

Laleni salama..
MUNGU AIBARIKI TANZANIA, MUNGU AMUBARIKI NYERERE (Muasisi wa Katiba ya JMT 1977 - Akili kubwa)
 
Nilimsikia Makongoro akisema kuwa sababu ya katiba kutaka Rais kuwa pia mwenyekiti wa chama ni kuleta utulivu kwenye uongozi. Matatizo kama yaliyotekea Zambia kwa Rais wao kumuweka rafiki yake kuwa mwenyekiti wa chama yalileta mgogoro mkubwa ndani ya chama.

Kazi kubwa inayofanywa serikali yetu ni kuhakikisha inampata mgombea mwenye sifa, akichaguliwa anapewa nguvu zote ikiwemo kuchagua viongozi wake wote wakuu. Hii inampa uhuru Rais kufanya maamuzi sahihi bila ya kuwa na kamba inayomshililia mguuni.
 
Io katiba sawia na ya urusi kwa Kila namna,Sasa tuseme pia urusi kaiga katiba ya Tanzania?
https://www.facebook.com/video.php?v=2572941592775020Hahahaha, hii ni photocopy ya Tanzania, sasa kwanininapoteza pesa mingi badala ya kusema mnatoa " copies" za katiba ya Tanzania?
1)Mlianza kwa kudhibiti na kupitia mishahara ya viongozi na watumishi wa umma(Kama alivyofanya Magufuli)
2)Mkakataza mashirika na Kampuni za Umma kuweka pesa zao katika mabenki ya kibiashara(Kama Magufuli)
3)Uhuru akaanzisha zoezi la kutafuta "Ghost workers" (Kama Magufuli)
4)Nationalization of KQ(Magufuli)
5)Sasa mnarudisha mfumo wa serikali kama wa Tanzania.
Ni jambo zuri sana kujifunza toka kwa jirani yako wa karibu abayefanya vizuri, badala ya kuiga Marekani ambako ni mbali sana na mazingira tofauti kabisa.
 
Delusions of grandeur. Why do you LDC bongolala suffer such inferiority complex.
Kenya had a Prime Minister in the early 60s. And again in 2008.

Even if copying constitutional amendments, Bongolala would not be a top 100 choice.
 
Hahahaha, hahahaha, Hahahaha, endeleeni kujifunza mambo mazuri toka Bongo, vipi kuhusu "tribalism" lini mtakuja kuja kujifunza?
 
Delusions of grandeur. Why do you LDC bongolala suffer such inferiority complex.
Kenya had a Prime Minister in the early 60s. And again in 2008.

Even if copying constitutional amendments, Bongolala would not be a top 100 choice.

Kama kamati yenyewe ya mabadiliko imeitaja Tanzania utapinga kwa tija gani?
Tulia sindano iingie.. Tanzania ni baba wa afrika, miaka 30 kenya imehangaika ikitafuta katiba mpya kumbe suluhu ni ku copy paste hekima ya Julius Kambarage Nyerere
 
Other than PM, nothing in the 130+ page report compares in any way to Tanzania.

Here are more highlights which you think are also copied from Tanzania, right?

Returning to leader of official opposition - Copied from Tanzania
Wealth above Sh50 million must be explained - Tanzania
Renaming Boxing day to cultural day - Tanzania
Renaming NCIS to ethics commission - Tanzania
Making all government services and process digital - Tanzania
Male governor must have female deputy - Tanzania
Giving Nairobi a special status for revenue allocation - Tanzania
Giving whistleblowers a portion of recovered money - Tanzania
Ensuring all roads have sidewalks - Tanzania

You people need to have your heads checked. You are an LDC with huge delusions of grandeur.

Source - PM Post Returns, MPs as Ministers, Status of Nairobi County: Most Controversial BBI Recommendations
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…