Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Wakuu,
Ripoti iliyo tarajiwa na wakenya baada ya salamu za heri kati ya Odinga na Kenyatta ipo tayari.
Japo sina riporti mkononi, (Inatolewa kesho kwa umma) habari za leo za Citizen TV zimesema bayana kwamba Kenya sasa itachukua mfumo wa katiba ya Tanzania.
Vyeo vya juu ni Rais, Naibu wake na Waziri mkuu ambaye atachaguliwa na Rais.
Riporti kamili na nukuu za mahali kamati ya mabadiliko ilipo taja Tanzania nita update uzi huu kesho.
Laleni salama..
MUNGU AIBARIKI TANZANIA, MUNGU AMUBARIKI NYERERE (Muasisi wa Katiba ya JMT 1977 - Akili kubwa)