Smart Contract
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,158
- 2,847
Acha tu mkuu, ngoja nianze hii safari naamini nitafikaNini kimekukuta mkuu?
Sawa, nitakuwa nikileta mrejeshoMaliza wiki ndio utoe ushuhuda
All the best mkuu.Acha tu mkuu, ngoja nianze hii safari naamini nitafika
Mungu akusimamie inaachika bt ngum kwa mara ya kwanza mie nliacha ya kwanza nkaj nkarudia kwa ushawsh wa ndugu yangu tupo bilicanas enz izo 2009 nmegoma akamuita muhudum kusud akamwmbia let castle 2 anajua nakunywaga castle na alijua nmeacha ila alifanya kusud nkanywa lakn kwakua nafs yangu ilishkusudia kucha cz nlikua nafanya stareh sana natumia pesa nyingi japo alhamdelah enz za kikwete kwa sie tulio kweny mizunguko unatumia lak 2 maisha club n bilz unaamka na engover sim zinaita za biashara wamalawi wacongo enz izo wankutumia oder ukatafte nguo kko uwfungie mzigo hela wankuingizia hela aikua ngum km iv sas by de way turud kwenye mada badae nkawa nakwepa siend disko nkitaka kutoka naenda beach washkaj warev ote nkawakatia pombe ya mwisho nakumbuka tulikunywa tumetoka bahar bich kgambon enz zle mwaka mpya souz beach panabamba tulikaa folen kwenye panton toka sa11 ad sa5 asbui nafika home sa6 kasoro kipind iko nakaa mchikchn ndio nkchukia pombe manake ofsn sjaenda duka sijafngua ndugu zangu enyew watu wa visiwan din din ipo ile unarud hom watu ote wanahis uyu mbona anatabia zisiofaa sasa iv ndio ilikua mwisho wang kunywa pombe na naichukia ad leo 12yrs imepita japo nliingia kwenye mirung nayo nikapiga nlivoona inaathir maendeleo unatumia pesa japo sio kama pombe za madem na washkaj pia nayo nikatumia km 5yrs nikaikatia so bro kuacha starrh au kitu kwanza kichukie ndio utakiacha ila ukiacha kwa ajil kina kula pesa siku ukipata pesa utatumia tena ila ukichukia kwa ajil inakudharilisha inapoteza muda na pesa na nguv bas itakua rahs kwako kuachaHabari za muda huu ndugu zangu.
Katika hali ya kawaida ni vigumu kunielewa kama hayajakukuta.
Pombe imeniharibia vingi sana kwenye maisha yangu zaidi ya kunipa faida.
- Pombe imemaliza fedha nyingi mno kiasi ambacho speed ya maendeleo yangu ni madogo ukilinganisha na kipato changu.
- Pombe imenipotezea marafiki wa maaana na kubaki na walevi ambao waliowengi ni wapumbavu.
- Pombe imenitenganisha na Mungu ni marachache sana kwa walevi kwenda ibadani maana jana yake ambapo Jumamosi wamekesha kwenye pombe wakifurahia weekend.
- Pombe imenifanya nipate ajali nyingi kwa mwaka huu tu, jana ilikuwa ajali ya 11 ambapo ilitaka kuchukua uhai wangu kabisa lakini Mungu hakuniacha aendelea kunilinda na kunipa muda wa kujibadilisha[emoji120]
- Pombe imenukutanisha na wanawake wa ajabu kwa ajili tu ya kujiridhisha kimwili ambapo na amini wamebeba laana na mkosi mingi mno, lakini Pia Mungu hakuniacha aliendelea kunilinda Afya yangu bado iko poa.
- Pombe imenifanya kutokuwa mwaminifu kazini, nimekuwa mwizi nguli ili mradi tu nipate hela ya kulewa.
-Pombe imenifanya hadi sasa nina miaka 33+ sina mke wala mtoto na sifikirii najiona mjinga sana katika hili.
Nina mengi mno yakustaajabisha na kutia simanzi sababu ya pombe, Nakiona kifo kipo karibu yangu kama nisipo badilika.
Namshukuru Mungu sana kwa kuendelea kua nami hali ya kuwa nimekuwa nikimkose, Namuomba Mungu sana Leo tarehe 01/07/2022 iwe mwisho wa mahusiano na pombe Maisha yangu yote Eeeh mwenyezi Mungu nisaidie.
Mrejesho, mambo yanaenda aje?Habari za muda huu ndugu zangu.

AminaHabari za muda huu ndugu zangu.

Kwanza nitake radhi mm sio mpumbavu....tuheshimiane kwa hiloHaya Tupe mrejesho wa kauli yako hii uliojiapiza mnamo Tarehe 1/7/2022 , umefikia wapi?_ mana m mwenzio nakunywa kama Catalyst au booster tu sio kulewa hovyo na kuwa mpumbavu kama ulivyokuwa wewe# nipe mrejesho nikupe Code.
Huo ni uasi unakiasi kikosi chako cha marafiki, itabidi uwalipe fidia kwa kuwatia ukiwa.Habari za muda huu ndugu zangu.