PreGE2025 Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
CCM hutumia puppets wake waliomo kwenye Mhimili wa Mahakama!
 
bundi mweusi aukali kooni uongozi mpya wa chadema mbaya sana, dah!

Jebra kambole na ukambale wake ule katika sheria kasalimu amri mahakamani?
inasikitisha sana inafedhehesha sana aise
 
Mahakama iko sahihi

Mali za CHADEMA zinatumika bara tu

Wazanzibari wako sahihi

Wanatumika tu ili CHADEMA kionekane cha kitaifa k8sifutiwe usajili kwa kukosa vigezo

Wazanzibari wamechoka kutumiwa na CHADEMA kama dekio la wao kuhalalisha CHADEMA ionekane na Zanzibar ipo wakati CHADEMA yenyewe haijali Zanzibar kabisa

Rasilimali wazira bara tu
 
No reforms no election imewashika pabaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…