King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
"Siku zote ukioshindana na mamlaka lazima utaumia" - Wallace Karia.
Kuna mahakama hapo au tawi la ccm tuIliyoamua ni mahakama sio CCM
Tena sanaInasikitisha sana
Kwa hili ccm haitofanikiwa. NO REFORMS NO ELECTION ni agenda ya watz na sio chadema tu"Siku zote ukioshindana na mamlaka lazima utaumia" - Wallace Karia.
No lisu, No Chadema No LGBTQ 🏳️🌈No reforms No election
Tupo tulipo!!MAKAMANDA MKO WAPI?
Uamuzi mdogo (interlocutory decision/order) ambao haumalizi shauri haukatiwi rufaa!Wakate rufaa waendelee na mikutano wakati kesi ikiendelea mahakama ya Rufani
Watanzania wangapi? Mimi mbona sipo kwenye agenda hiyoKwa hili ccm haitofanikiwa. NO REFORMS NO ELECTION ni agenda ya watz na sio chadema tu
Hoja ya kijinga inayoshabikiwa na wapumbavu. Mamlaka ni nini na ni nani?"Siku zote ukioshindana na mamlaka lazima utaumia" - Wallace Karia.
CCM matatizo yooote ya watanzania nyie mnaona CHADEMA ndiyo tatizo kubwa!Watanzania wangapi? Mimi mbona sipo kwenye agenda hiyo
No Lissu No Chadema No LGBTQ 🏳️🌈
Hawana huo mpango wakuingia madarakani sio wao Wala Wana chama wao in short huo utayari haupo Kwa raia wa Tanzania humu mitandaoni tunapiga makelele tu but Kwa ground mambo ni very differentMnapoteza muda kutumia njia za kidemokrasia kuiondoa ccm madarakani. Njia ipo moja tu na nadhani kila mtu anaijua.
Huu sio muda wa maswali, ni muda wa kutekeleza amri za MahakamaMaana yake ni kwamba CHADEMA ni kina nani? Maana kama waleta maombi wanasema wao ni CHADEMA ila wanataka chama chao kizuiwe kufanya siasa, inaeleweka kweli hii?
Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepigwa marufuku kufanya shughuli zozote zile za kiutendaji na oparesheni mpaka hapo kesi ya msingi iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Baraza la Wadhamini na Katibu Mkuu wa CHADEMA itakaposikilizwa
Jaji Hamidu Mwanga anayesikiliza kesi hiyo namba 8323/2025 amesema zuio hilo la muda linakuja kufuatia maombi yaliyowasilishwa Mahakamani hapo na Mawakili wa waleta maombi wakiongozwa na Wakili Gido Thomas Simfukwe ambao waliiomba Mahakama kuweka zuio hilo hadi kesi ya msingi inayoanza kusikilizwa Juni 24.2025 isikilizwe, ambapo kwenye kesi ya msingi waleta maombi wanadai kuwa CHADEMA imekuwa ikiitenga Zanzibar katika masuala mbalimbali ikiwemo mgawanyo wa raslimali fedha nk
Akitangaza uamuzi huo, Jaji Mwanga amesema suala hilo ni la kisheria na haliitaji ubishani kwa sababu limefafanuliwa vyema kwenye sheria ya vyama vya siasa,
Wakati maamuzi hayo yanatolewa, upande wa utetezi (CHADEMA) haukuwa na mwakilishi yeyote Mahakamani, hiyo ni baada ya aliyekuwa Wakili wake Jebra Kambole kutangaza kujiondoa kwenye shauri hilo hatua iliyopelekea Mahakama kuendesha kesi kwa upande mmoja,
Kwa muktadha huo, ni wazi sasa shughuli za kisiasa za ndani (kiutendaji) na za oparesheni kama vile mikutano ya hadhara, vikao vya CHADEMA, vimezuiliwa kwa muda.
View attachment 3363251
Hii ndio picha ya Hakimu wa Mahakama Kuu Hamidu Mwanga aliyetoa uamuzi wa kuipiga CHADEMA marufuku
View attachment 3363259
Source: Jambo TV