PreGE2025 Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hivi wale wataalamu wakutuma nyukii kwenda kumuuma mtu mpo wapi tunaitaji msaada wetu this time nikituma nyuki.tu kwa machawa wote, hakimu kama uyu nimpelekea nyuki tu yani maofisini kwao mpaka majumbani kwao pasikalike nikuumwa na nyuki tushachoka bembelezana bembelezana
 
Haya sasa muachieni Lissu.

Mimi sio mpenzi wa siasa ila naumia sana kumuona Lissu akiwa gerezani.
 
Kitu kingine hao wazanzibar hawatembei mitaani hawawezi kuleta usnitch watu wapo front
 
Mifumo yote ya nchi imeshikiliwa na CCM. Tunaposema "a failed state" hii ndio maana yake hasa. Mifumo yote ipo chiji ya chama tawala. Serikali kuu, Bunge, Mahakama, Jeshi la Polisi na Jeshi la Wananchi.

Without reforms, without a new constitution we're doomed, there will be no dawn!
 
Mnapoteza muda kutumia njia za kidemokrasia kuiondoa ccm madarakani. Njia ipo moja tu na nadhani kila mtu anaijua.
Hawana huo mpango wakuingia madarakani sio wao Wala Wana chama wao in short huo utayari haupo Kwa raia wa Tanzania humu mitandaoni tunapiga makelele tu but Kwa ground mambo ni very different
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…