RASMI: Massanza ni Msemaji wa Singida Black Stars

Advice taken. Nina vijana wa kutosha kwenye idara na tayari nishawapa dira katika maeneo haya. Nawaamini, watafanya kazi nzuri.
 
Ukiuza kitu chako kitakuwa na laana endelevu ya kupigwa bei kila kinapokwenda. Ilianza Kuitwa;
  • Mawenzi Market,
  • DTB
  • Singida Big Stars,
  • Singida Fountain gate,
  • Ihefu,
  • Singida Black Stars

Umechanganya madesa. Ihefu ambayo kwa sasa ndio Singida Black Stars hazihusiani na hizo za juu.
 
Kuna Uzi uliulizwa kama unampango wa kuwa msemaji wa Singida Black star, ulikataa vipi Tena??

Nilikataa kuhusu Ihefu lakini walipobadilisha jina na kunipa ofa nono ofkoz nakataaje tena? Pia project nimeipenda kwa sababu malengo ni makubwa na usajili unaofanyika ni balaa. Subirini tu!
 
Nilikataa kuhusu Ihefu lakini walipobadilisha jina na kunipa ofa nono ofkoz nakataaje tena? Pia project nimeipenda kwa sababu malengo ni makubwa na usajili unaofanyika ni balaa. Subirini tu!
Acheni kutumia matusi kwenye page yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…