Rasmi Mchezo wa Simba Vs USGN ni saa 4:00 Usiku Aprili 3, 2022

Sidhani kama una akili ya kawaida ambayo binadamu wengine wanayo

Ndo maana huachi kuharisha upumbavu wako mutawali kila uchao.

Haya ni Makubaliano na CAF (wenye mpira wao) kwamba michezo yote Kundi D' ipigwe muda mmoja saa 4 Usiku.

Sasa ukanjanja, Uongo unatoka wapi ilhali unaona kabisa kama si kubadilisha Simba SC walipanga kucheza game saa 1: 00 Usiku.

Zero bhana..!
 
Uwiii!! Itabidi kulala kwanza kisha ndo kuamka kushabikia timu ya atokako Babu yangu Mzee Amadou Issoufou. 😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…