Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
anaenda yanga
Bado namuona akiendelea kucheza Simbaanaenda yanga
Yanga atumtaki,anawajambisha mikia mumpe pesa anayoitakaanaenda yanga
Kwa kweli 🤣Yanga atumtaki,anawajambisha mikia mumpe pesa anayoitaka
Basi tutampaYanga atumtaki,anawajambisha mikia mumpe pesa anayoitaka
Anawajambisha tu hapo wakala wake ameshawapa mpunga waandishi wavumishe anaenda Yanga.Huyu wakifanya kama wanampotezea anasaini.Wakuu!
Nahodha wa Simba SC, Mohamed Hussein maarufu kama Zimbwe Jr, ameondoa utambulisho wa kuwa mchezaji wa Simba kwenye mitandao yake rasmi ya kijamii, hatua inayozidi kuchochea uvumi wa kujiunga na watani wao wa jadi, Yanga SC.
Hatua hiyo imekuja baada ya kumalizika kwa mkataba wake na Wekundu wa Msimbazi, na kwa sasa Zimbwe Jr ni mchezaji huru, huku bado hajatia saini mkataba mpya na klabu yoyote.
Hata mkeo akikuona hauna malengo anakuacha aise.Wakuu!
Nahodha wa Simba SC, Mohamed Hussein maarufu kama Zimbwe Jr, ameondoa utambulisho wa kuwa mchezaji wa Simba kwenye mitandao yake rasmi ya kijamii, hatua inayozidi kuchochea uvumi wa kujiunga na watani wao wa jadi, Yanga SC.
Hatua hiyo imekuja baada ya kumalizika kwa mkataba wake na Wekundu wa Msimbazi, na kwa sasa Zimbwe Jr ni mchezaji huru, huku bado hajatia saini mkataba mpya na klabu yoyote.
Janja janja za mchezaji na management yake ili apandishiwe dau🤣🙌Wakuu!
Nahodha wa Simba SC, Mohamed Hussein maarufu kama Zimbwe Jr, ameondoa utambulisho wa kuwa mchezaji wa Simba kwenye mitandao yake rasmi ya kijamii, hatua inayozidi kuchochea uvumi wa kujiunga na watani wao wa jadi, Yanga SC.
Hatua hiyo imekuja baada ya kumalizika kwa mkataba wake na Wekundu wa Msimbazi, na kwa sasa Zimbwe Jr ni mchezaji huru, huku bado hajatia saini mkataba mpya na klabu yoyote.
Pandisha Pressure tu hiyo.Wakuu!

ameishasaini yanga tayarianaenda yanga