Rasmi naenda kuacha ajira, Wasomi tumegeuka kituko kwa uoga wa kutegemea matone ya mshahara huku wageni na std 7 wakitajirika kwa rasilimali zilizojaa

Mshahara ni 765k, wanakata mpaka inabaki 540k. Hiyo hela ukitoa gharama za maisha unabaki na laki mbili au tatu. Sasa kwa hiyo saving ya laki mbili tatu utafanya maendeleo gani?
Maafisa utumishi wanadhani labda tulikua hatuna kazi huko mitaani so mikwara kibao,ujinga ujinga tu. Ukimcheck mtu mwenyewe umemzidi kipato cha jumla na mengineyo,ila kila siku mikwara tu. Ukiuliza huyu vipi utaambiwa huyo anataka ajira mpya ujue nguvu ya cheo chake tu si vingine,ni UPUUZI!!

Njaa zimetanda huku Halmashauri,nyuso za wafanyakazi wakongwe zimekunjamana,hawana furaha kabisa ya maisha. Ni kama watu ambao wanasukuma tu siku zisogee wazeeke wapate kiinua mgongo au wafe tu.

Watumishi wamepauka,sio kwa kupenda ila ni kipato kiduchu ambacho hakilingani na mahitaji. Wengi wao ni futureless,waoga wa maisha,wao kazi ndio mkombozi wao,kazi ambayo haiwapi furaha wala uhuru wa kipato.

Kila nikiwatizama naona kama na mimi nitakuja kufanana na wao,nikose tumaini la maisha,niishie kuandaa madokezo,nikopwe na halmashauri kwa ziara za hapa na pale. Niishie kuishi maisha ya madeni,salary advance,songesha au Mgodi..?? Aaah nakata tamaa,hii kazi naiacha.
Acha kabla hii spirit haijapotea
 
Ila mshahara ni mtamu sana, ukute umeajiriwa na serikali tunaita security jobo ni raha kubwa sana hata kama mshahara ni mdogo utaupata kwa wakati bila hofu ya kuukosa. Kila baada ya wiki nne unaenda kubonyeza atm hela zinatoka bila kuchalenjiwa kuna siku hukufanya kazi ukatwe mshahara. Kama ni mwalimu naamua kwa leo nifundishe vipindi vingapi kisha nisepe zangu kwenye dili zingine na mkuu wa shule namshikiza kitu kidogo mabosi wa juu wakija wakikuta sipo shuleni mkuu wa shule atanitolea maelezo kuwa nina udhuru. Nikurudi kwenye mishe zangu nafukia ma gap yote ya vipindi nilivyokosa ila watoto watapata haki zao zote za kufundishwa na nitapokea mshahara vizuri tu nikiwa najua sikukosa hata kipindi kimoja
 
And the time is now.

Sisi watanzania nimekuja kushangaa sana inakuwaje tumejaaliwa rasilimali tunawaachia wahindi, waarabu, wapalestina, wairan, wanapiga mihela halafu sisi tunauza mpaka mashamba ili upate ajira, kuanza maisha kwenye ajira sio tatizo ila shida ni kulala usingizi wa pono kuridhika mazima na matone ya mshahara mpaka uzeeni.

Itoshe kusema ajira imeweza kunipa pesa za kujitegemea, gari, mikopo ya fasta, n.k ila sasa ni muda wangu ku venture other oppurtunities.

Nimeamua niingie kwenye biashara za rasili mali zetu tulizojaalowa kwa upendeleo mkubwa sana hapa Tanzania, mwaka jana pekee niliingiza zaidi ya mara 4 ya mshahara wangu + posho za mwaka mzima net profit faida baada ya kuondoa gharama zote and i am barely 35 and very energetic, why nimalizie prime yangu kwenye kusubiri mshahara na posho ? Hell No !! hapana kwakweli !!, i am set to go, My plan ni kuacha ajira hata sasa ila kwa sababu kadhaa ambazo ni external factors ntaacha mwakani .

Nashukuru kiingereza cha kumingle kwenye soko kinapanda, nimepata exposure kwenda nje ya nchi kitu kilichofanya nijue kwamba watanzania tunachezea fursa za rasili mali zetu, nina idle connections sababu ya uoga wangu but ni muda wa kuzifanya ziwe active.

MUHIMU: Kazi naacha kwenda kuendeleza na kuzipa muda na umakini biashara ambazo tayari nina uzoefu nazo, siachi kazi kwenda kuanza biashara from scratch.
ukishaacha kazi,nistue niwe naku2mia ela ili familia yako isisambaratike jamaa!!,,,usipende kuiga kila ki2,biashara kipaji
 
Natoa ushuhuda.
Kuna jamaa alianzisha biashara huku kaajiriwa. Biashara ikasimama na mwaka 2015 magufuli tishia tishia wafanyakazi jamaa akaacha kazi kweli.. sasa hivi jamaa ni bilionea mkubwa tu.
Wafanyakaz wemzake wameona kama jamaa kafaidi, Kuna jamaa yake nae mwaka 2018 kaacha kazi kama yeye. Alichokosea, kaacha kazi ili afanye biashara wakati aliyemuiga alianza biashara huku Yuko kazini.

Kikampuni cha huyu anaeiga hakina mbele Wala nyuma, jamaa ana stress kama zote. Anafokea wafanyakazi muda wote na kuwalipa buku 5 mpaka buku 4 kwa siku. Tusiige vision, watu waige steps tu
 
noma jamaa yangu!!!,,,,kuna mchizi wakati nafanya kazi ya ulinzi pale GGM-GEITA kabla sijaja dar kujiendeleza na elimu ya juu{{nilikimbilia geita baada kumpa mimba mwanafunzi wa form 5 kwa sasa ndo mamito]],,,sasa kuna nshomile mmoja alipoona walinzi wa mgodini 2nalipwa ndefu akaacha kazi akawa nae mlinzi!! mara paaaap!! akashikwa akiiba mafuta {kidebe]..sasa ivi kadata!!!...sio kila ki2 cha kuiga!!
 
Anhaa kumbe Kule watu wanakula ngap ulinzini?
 
Afisa tra anapaswa kufurahia ajira yake
Jua mvua zake. Hawana nuru ya kumiliki pesa. Wamepauka tu kama hawashiki( sijawahi muona demu mwenye mvuto ambaye ni traffic), mda wote wana wasi wasi. Yaani unaona kweli yale ni maisha.
Baadhi yao wana mwisho mbaya sana ikiwemo
Kugongwa na magari
Kufukuzwa kwa rushwa
HIV death penalty.
Pressure za overweight.
Kurogwa kwa sababu mbali mbali.
Sio wote wanaopata hayo majanga ila baadhi yao.
Mnisamehe traffic wote himu, huo ni utafiti wangu wa miaka kadhaa na father wangu alikuwa NJAGU. inaweza isiwe kweli.
 
Mkuu unaishi maisha ya dingi nn?
 
And the time is now.

Sisi watanzania nimekuja kushangaa sana inakuwaje tumejaaliwa rasilimali tunawaachia wahindi, waarabu, wapalestina, wairan, wanapiga mihela halafu sisi tunauza mpaka mashamba ili upate ajira, kuanza maisha kwenye ajira sio tatizo ila shida ni kulala usingizi wa pono kuridhika mazima na matone ya mshahara mpaka uzeeni.

Itoshe kusema ajira imeweza kunipa pesa za kujitegemea, gari, mikopo ya fasta, n.k ila sasa ni muda wangu ku venture other oppurtunities.

Nimeamua niingie kwenye biashara za rasili mali zetu tulizojaalowa kwa upendeleo mkubwa sana hapa Tanzania, mwaka jana pekee niliingiza zaidi ya mara 4 ya mshahara wangu + posho za mwaka mzima net profit faida baada ya kuondoa gharama zote and i am barely 35 and very energetic, why nimalizie prime yangu kwenye kusubiri mshahara na posho ? Hell No !! hapana kwakweli !!, i am set to go, My plan ni kuacha ajira hata sasa ila kwa sababu kadhaa ambazo ni external factors ntaacha mwakani .

Nashukuru kiingereza cha kumingle kwenye soko kinapanda, nimepata exposure kwenda nje ya nchi kitu kilichofanya nijue kwamba watanzania tunachezea fursa za rasili mali zetu, nina idle connections sababu ya uoga wangu but ni muda wa kuzifanya ziwe active.

MUHIMU: Kazi naacha kwenda kuendeleza na kuzipa muda na umakini biashara ambazo tayari nina uzoefu nazo, siachi kazi kwenda kuanza biashara from scratch.
Basi sawa
 
Ila mshahara ni mtamu sana, ukute umeajiriwa na serikali tunaita security jobo ni raha kubwa sana hata kama mshahara ni mdogo utaupata kwa wakati bila hofu ya kuukosa. Kila baada ya wiki nne unaenda kubonyeza atm hela zinatoka bila kuchalenjiwa kuna siku hukufanya kazi ukatwe mshahara. Kama ni mwalimu naamua kwa leo nifundishe vipindi vingapi kisha nisepe zangu kwenye dili zingine na mkuu wa shule namshikiza kitu kidogo mabosi wa juu wakija wakikuta sipo shuleni mkuu wa shule atanitolea maelezo kuwa nina udhuru. Nikurudi kwenye mishe zangu nafukia ma gap yote ya vipindi nilivyokosa ila watoto watapata haki zao zote za kufundishwa na nitapokea mshahara vizuri tu nikiwa najua sikukosa hata kipindi kimoja
Kwa akili kama hii. TZ bado sana.
Wenzetu Nigeria top 10 ya matajiri ni wanaijeria wazawa aka wabantu sisi warabu na wahindi (ni wazawa ila sio wabantu). Hii inatokana na akili za kama huyu mchangiaji.
Badala ya tuhamasishane vipi tunatoka tulipo tunahamasishana kuwa mshara ni mtamu ie tuendelee kutegemea mshahara.
Ukifa watoto wako wanarithi mshahara ?
Moe akifa watoto wanarithi Hisa za kampuni.
Let me tell you ukiumwa mfululizo miezi 6 unastaafishwa kwa manufaa ya uma. Hakuna cha security, tunajidanganya tu.
Security ni wewe kuwa na PASSIVE income.
 
Mkuu unaishi maisha ya dingi nn?
Mimi mwenyewe ni Dingi. Nazungumzia uhalisia sio njaa. Ukiwa na njaa kila kitu ni kizuri . Hata kwa mtutu siwezi enda hio sekta
Ina maana nilioyoandika hapo wewe hajalishuhudia hata moja ?
Halafu nimeandika kuwa hayo ni maoni yangu baada ya kuishi kwingi ila mtoto kama wewe huwezi elewa.
Kwani mzee wa miaja 70 hakuwa na baba ? Ukisema baba yangu alikuwa XX unakuwa bado upo kwa baba. Mbona kiswahili kipo wazi.
Anyway nipo kwa baba hapa, nasubiri cha usiku.
 
Mimi ni ajira mpya, nimeajiriwa mwezi Oktoba mwaka huu ila baada ya kuona haya mambo ya huku Halmashauri hayaeleweki nimeamua rasmi Januari naacha kazi.
Acha kazi upambanie ndoto zako.
Mwanaume lazima uwe na ujasiri sio kulegeza mattyakko utaishia kumiliki IST na rav 4 used ya mkononi mwa mtu.
 
Mimi mwenyewe ni Dingi. Nazungumzia uhalisia sio njaa. Ukiwa na njaa kila kitu ni kizuri . Hata kwa mtutu siwezi enda hio sekta
Ina maana nilioyoandika hapo wewe hajalishuhudia hata moja ?
Halafu nimeandika kuwa hayo ni maoni yangu baada ya kuishi kwingi ila mtoto kama wewe huwezi elewa.
Kwani mzee wa miaja 70 hakuwa na baba ? Ukisema baba yangu alikuwa XX unakuwa bado upo kwa baba. Mbona kiswahili kipo wazi.
Anyway nipo kwa baba hapa, nasubiri cha usiku.
Kama mna koneksheni kwa sekta kama hizi ambazo hamtaki kwenda Kuna watu qanasaka ajira kila siku humu wapeni wakapigwe na jua. Si kwa ubaya
 
Back
Top Bottom