Rasmi naenda kuacha ajira, Wasomi tumegeuka kituko kwa uoga wa kutegemea matone ya mshahara huku wageni na std 7 wakitajirika kwa rasilimali zilizojaa

Kuajiriwa sio tatizo hasa kwenye nchi kama yetu, ajira inaweza kuwa source nzuri ya mtaji na mkopo wa fasta.

Tatizo ni pale mtu anapokuwa na maono mafupi kwamba ajira ndio aitegemee mpaka kuzeeka, hataki kutumia hela anazoingiza kwenye ajira ama mikopo kujiongezea kipato kwa rasili mali zetu zilizojaa tele.
 
Hongera sana kwa kujitambua na kuchukua maamuzi sahihi ya kuweka dhamana ya maisha yako mikononi mwako. Siri uliyoigundua kamwe haishirikishwi kirahisi.....Karibu sana kwenye game isiyotaka hasira. 🤓
Hatuishi milele, kwa mtu ambae anakaribia 35, life expectancy yake kabakiza takribani miaka 25 tu hapa duniani, katika miaka michache iliyobaki si mbaya kutumia muda wako kujiongezea pottential hasa kwenye nchi kama hii ambayo imependelewa mno rasilimali na amani
 
Kuna Mzee Huwa anauliza kwamba hivi mapesa yote ambayo Watumishi wenye Vyeo Huwa wanapata yanaendaga wapi?

Huwa namjibu kwamba pesa ambayo hujaitolea jasho ambayo ni dhuluma haiwezi kukaa na pia mtu wa hivyo hawezi simamia pesa ikazalisha maana Kuzalisha kitu Inahitaji sucrifice sio sawa na kuandika posho Ofisini au kupata pesa za Dili.
 
Andika barua ya likizo bila malipo mkuu usiache kazi hakuna anayependa kuteseka kwenye ajira ila familia zetu za Africa zina changamoto sana.
 
Hakuna tajiri aliyeajiriwa
Kwa sababu kaajiriwa hivyo sio tajiri au sababu aloyemuajiri ndio tajiri?.
Utajiri umeudifaini vipi ili tuilewe hoja yako

Mana kwa muktadha huu hata christiano Ronaldo pamoja na kuongoza elfu sita kila sekunde moja sio tajiri
 
Kwa sababu kaajiriwa hivyo sio tajiri au sababu aloyemuajiri ndio tajiri?.
Utajiri umeudifaini vipi ili tuilewe hoja yako

Mana kwa muktadha huu hata christiano Ronaldo pamoja na kuongoza elfu sita kila sekunde moja sio tajiri
Ajira ya talent ni tofauti na ajira ya vyeti
 
Acha kazi upambanie ndoto zako.
Mwanaume lazima uwe na ujasiri sio kulegeza mattyakko utaishia kumiliki IST na rav 4 used ya mkononi mwa mtu.
Kabisa ndugu, kuifikia ndoto yangu napaswa kupambana sana pia kuchukua maamuzi magumu pale inapobidi kufanya hivyo.
 
Mimi ni ajira mpya, nimeajiriwa mwezi Oktoba mwaka huu ila baada ya kuona haya mambo ya huku Halmashauri hayaeleweki nimeamua rasmi Januari naacha kazi.
Bora ukafanya maamuzi yako mapema kabla hujamezeshwa hofu isiyo na kifani, na watumishi wenzako waoga.
 
Mkuu,wewe ndie tunaweza kuzungumza kwa kina. Ulidumu muda gani kazini? Mimi nina miezi mitatu tu ila rasmi January naiacha hii kazi.
MM nimefqbya miez nane tu yule aliyeniqchia kafanya miez mitatu tu. Ile ofisi haikai na wafanyakaxi mana inawaonaga nyani tu. Mara kuwatisha kuwaachisha kazi. Nq mm ukinitisha ni kama umenifukuza tu. Mapema nikala time zangu
 
Mkuuu nakuunga mkono... Nilichelewa ingia serikalini na nimehustle sana mtaaani lkni sikuwahi kuwaza kwenda omba kibarua Kwa mtu. Nimeingia serikali around two years ago but Kwa experience ya mtaaani naona serikalini kunapwaya sana
 


Umefanya maamuzi mazuri sana, yana malipo sana, ila yanaweza kukupitisha kwenye moto na kipindi kigumu, cha maana umeamua mwenyewe, then utaweza vumilia kuelekea nchi ya ahadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…