ilala yetu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 1,451
- 2,348
Mkuu wewe ni mwanasoka kweli,povu linakutoka ivo kwa mechi moja tu.simba haiwezi kua kama africa lion ila tabia ya kuingilia uhuru wa watu wa jeuri ya pesa hauna afya kwa team yetu, bila upuuzi ule tungeendelea kumshuhudia chama msimu huu.
Tutarudi hapa tena nkuoneshe hii,
Nakuapia simba inaenda kua hatari kuliko ilivyokua msimu huu,
Chama mwenyew mara zote hizi game za hawa utopolo wakamiaji hajawai kushine kabisa, na ulidondoaha point nying kwa azam pia.
Matokeo ya jana its just football.