Hahaha kwasasa shilingi moja mnatuuzia dollar ngapi?Uchumi ni zero kichwani mwako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha kwasasa shilingi moja mnatuuzia dollar ngapi?Uchumi ni zero kichwani mwako.
Ipo siku tutafanya TU naamini katika makubwa yaliyo mazuriUbaya ni kwamba sisi kama nchi tuna high demand ya dollar ,yani tunaihitaji haswa kwahiyo hicho unachosema in practice hakiwezekani,
Fatilia takwimu, hadi Sasa china kapunguza reserve kubwa ya dollar. Futatilia Saudia ndo utaona jinsi wanavyopunguza utegemezi wa dollar taratibu. Hawawezi kutokana haraka, ni process inachukua taratibu. Matumizi ya $ yanazidi kuporomoka kila siku, labda nikupe hii mpya, kwasasa unaweza lipia gari Japan kwa kutumia Yen huna haja ya dollar.China yenyewe kashindwa kutoka kwenye mfumo wa dollar, na ndo anaongoza kufanya export duniani kote!!
Umemjibu vizuri.Utazinunua Naira kwa dola benki kuu ya Nigeria ndipo ununue mafuta yao
Watapata faida mara mbili kukuzia Naira na kukuuzia mafuta
Hiyo itapandisha thamani ya Naira ya Nigeria
Wako sahihi sana kwa hiyo hatua
Russia amesha move on tayari, haangaiki na $.Hixo hatua wauziane wenyewe humo ndani na Naira zao, international trade zina masharti mengine.
Watamuuzia urusi na China hayo mafuta?
Wape muda utasikia.
Masikini huwa tukishiba tuna lala tunasahau njaa huwa ina rudi tena kwa kasi sana.
Unafikiri ni sababu zipi ambazo zinapelekea tuna high demand ya $?Ubaya ni kwamba sisi kama nchi tuna high demand ya dollar ,yani tunaihitaji haswa kwahiyo hicho unachosema in practice hakiwezekani,
Tatizo mfumo huu wa kibepari unafany wote tuigombanie dollar, bandarini gharama unalipa kwa dollar,nyumba za vigogo zinapangishwa kwa dollarIpo siku tutafanya TU naamini katika makubwa yaliyo mazuri
Ka move on su kabanwa?Russia amesha move on tayari, haangaiki na $.
Marekani kama super power wa dunia ameweka mifumo yote ya kukopesha ,kutoa huduma etc kwa dollarUnafikiri ni sababu zipi ambazo zinapelekea tuna high demand ya $?
Ni kweli ni hana option siyo kwamba anapenda ingawa russia ni taifa kubwa yupo kwenye level za marekani huko, amejitosheleza na yeye ana resources nyingi ambazo zinategemewa na europe yote ikiwemo gas, mafuta, coal, ngano etc kwahiyo kidogo anaweza kumudu ,ila kwa nchi ambayo ina madeni na ina import 90% ya bidhaa ni impossible kuikwepa dollarKa move on su kabanwa?
Akilegezewa vikwazo anarufi mbio.
Mfungwa kukwambia tuliisha zoea na kugurahia maisha gerezani haimaanishi hapendi uhuru.
Inamaanisha ka adopt hali anayolazimishwa kuiishi.
Hawa wenzetu walio weza kutoka wametumia njia ganiTatizo mfumo huu wa kibepari unafany wote tuigombanie dollar, bandarini gharama unalipa kwa dollar,nyumba za vigogo zinapangishwa kwa dollar
Hadi baadhi ya viongozi wako wana account nje ya nchi za dollar, apart from story za kisiasa ni ngumu kwa nchi tegemezi kujiamulia au kutoka kwenye mfumo wa mabeberu
Magufuli alithubutu lakini ndio hivyo yakatokea yaliyotokea, kupambana na mfumo ni ngumu sana, hii mifumo wameijenga ili usitoke ,na ukijaribu kutoka utatolewa wewe na wananchi wako watatiwa upepo watashangilia tu kama gaddafi alivyotolewa
Kwa Sasa hv mchina anataka yuanMarekani kama super power wa dunia ameweka mifumo yote ya kukopesha ,kutoa huduma etc kwa dollar
TAnzania na third world countries tuna import almost everything, jusi nimeshangaa kumbe hadi nondo za kujenga sky scrappers tuna import achana na bidhaa nyingine za ujenzi, kwa hiyo yule ghorofa obviously atapiga mahesbu yake kwa usd ili apate faida baada ya kuinvest
Serikali inakopa kwa dollar na ili ilipe itabidi iwe na reserve kubwa bot ya dollar kuweza kulipa madeni yake na kuwezesha kuimport bidhaa kwa wananchi wake maana dollar ndio major currency inayotumika kwenye soko la kimataifa, leo hata ukitaka kitu china mchina atakupa quotation ya dollar
Kwahiyo demand ni kubwa mno mno
Kama nchi gani iliyofanikiwa kutoka successfully ukiacha russia ambaye yupo kwenye vikwazo na ana export bidhaa zake ulaya yote, na amejitosheleza uzalishaji bidhaaHawa wenzetu walio weza kutoka wametumia njia gani
Sasa wewe mtu wa nje utapata wapi naira bila kuinunua kwa wenye naira?N kama kujitekenya na kucheka yan unaenda na dola unapewa naira una nunua mafuta
Juzi nimeagiza mzigo china nimepewa quotation kwa dollar, ingawa mchina anabalance lazima uwe na reserve ya dollar kwa sababu ndio inayotumika kwenye soko la kimataifa, hata hapa bongo kuna watu wanatembea na dollar kama wachinaKwa Sasa hv mchina anataka yuan
Inawezekana, wata print noti zao nyingi, ili uzipate utabadilisha kwa fedha za kigeni; kwa namna moja ama nyingine watakuwa wameimarisha sarafu yao na itakuwa na uhitaji mkubwa.Hahaha ya Sisi hizo Naira tutazitoa wapi?
Waongo tu hao wanajazana upepo, hata Nigerians hawayaki Hizo Naira, wana zibadili kwa dollor na kutunza dollar.
Wanajidanganya kwa muda mfupi na kujipa matumaini tu.
Kama nchi gani iliyofanikiwa kutoka successfully ukiacha russia ambaye yupo kwenye vikwazo na ana export bidhaa zake ulaya yote, na amejitosheleza uzalishaji bidhak
Sasa kama Russia kaweza kwanini sisi tusiweze ni swala la muda TU madhari lonauwezekano wa kufanyika litafanyika TU hata kama litachukua muda kiasi gani. Pili ni china nae kafanya hvyKama nchi gani iliyofanikiwa kutoka successfully ukiacha russia ambaye yupo kwenye vikwazo na ana export bidhaa zake ulaya yote, na amejitosheleza uzalishaji bidhaa