AlphaMale_
Senior Member
- Aug 12, 2023
- 182
- 455
doSema vidogo vibishoo vile, mi nawapendea kuangalia styles zao za nywele
Hahaaaa !wana sports leo ilikua mfululizo wa kipigo kwetu wana blues kiukwel huwa naumia sana sasa kwakua sis huu msimu hatuna timu kabsa
yani usajiri wote ni majeru na flop nimeamua kujiweka pembeni kwanza maana ntakua sina amani kbsa
Mpaka siku nikijariwa kuingia kabsa S. bridge
Polen sana pia na nyie Nyumbu
Mbona man u tushazoea tangu babu amestaafuwana sports leo ilikua mfululizo wa kipigo kwetu wana blues kiukwel huwa naumia sana sasa kwakua sis huu msimu hatuna timu kabsa
yani usajiri wote ni majeru na flop nimeamua kujiweka pembeni kwanza maana ntakua sina amani kbsa
Mpaka siku nikijariwa kuingia kabsa S. bridge
Polen sana pia na nyie Nyumbu
huyu sio shabiki wa blues mtu kama hafamu ajern roben kacheza chelsea anawezaje kupata uchungu wa timu kaanza kuitazama chelsea ya kina jamesTatzo mlikuta timu ina mafanikio mkaanza ishabikia. Shabiki wa kweli anaangalia mechi nyakati zote mbaya na nzuri.
Pole
Nimeanza kupenda chelsea even Roman ibraimovic hajanunua na chelsea haijawa na legacy yoyotehuyu sio shabiki wa blues mtu kama hafamu ajern roben kacheza chelsea anawezaje kupata uchungu wa timu kaanza kuitazama chelsea ya kina james
sasa wew shabiki wa siasa au mpira? kwan ile ni dhuruma au sheria za nchi?Mimi ni shabiki wa Yanga na Chelsea. Ila kiukweli sikufurahiwa na ile dhuluma aliyofanyiwa Abramovich baada ya nchi yake ya Urusi kuivamia Ukraine.
Kwa hiyo hata haya mapito wanayopitia kwa sasa, mimi naona ni sawa tu kwao.
Ile ni dhuluma ya wazi kabisa dhidi ya wawekezaji kutoka nje. Maana aliyeivamia urusi ni Putin! Sasa kwa nini zitaifishe mali za Warusi?sasa wew shabiki wa siasa au mpira? kwan ile ni dhuruma au sheria za nchi?
Hujui lolote bora ukae kimyaIle ni dhuluma ya wazi kabisa dhidi ya wawekezaji kutoka nje. Maana aliyeivamia urusi ni Putin! Sasa kwa nini zitaifishe mali za Warusi?
Mimi siyo mtu wa kuunga mkono mambo ya kijinga.
Chelsea kiungo na kidogo nyuma angalau wanauhai, mbele kule ndiyo kuna utoto wa kutisha mechi ya jana kama kule mbele wangekuwa serious wangeshinda hata goli 4.
Makosa ya viungo na beki yanaonekana baada ya ujinga wa forward kule mbele wakiongozwa na stering et al