Rasmi nimeacha kuangalia mechi za Chelsea FC

Burudan gan unapata as united fan ?m
Burudani sio lazima timu ishinde tu, kitendo cha wao kucheza tayari nafsi yangu ishafurahi regardless ya matokeo tukayoyapata.

Mimi kitu pekee nilichobadilisha sasa hivi mechi zetu zote huwa naangalizia nyumbani kwangu ili ni-focus vizuri kuangalia mpira bila bughudha.
 
Tuna fanana mawazo mkuu.
Me ni shabiki lia lia wa manchester united, lakini kinacho endelea niamua kujiweka pembeni kwanza, paka pale itakapo tulia.
Msimu tangu umeanza nimeangalia game zisizo zidi 2 tu, me huwa sipendi pressuer kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…